Utangulizi: Raia kuuawa, wanawake kubakwa na watoto kujeruhiwa na kuchomewa nyumba na polisi na jeshi huko Mtwara.
Tutakumbuka kuwa Jakaya Kikwete alichaguliwa kuongoza awamu ya pili kwa kura 5,276,827 (EU EOM Report, 2011) tu kati ya wananchi 44,928,923 (NBS, Census 2012). Effective percentage...
Nafikiri ndugu yangu ZeMarcopolo unakosea sana. Kama barua imeandikwa na mwanasheria wa Kinana na addressee ni Pastor Hon. Msigwa then kwa nini iende kuchapishwa magezitini kooooooote kama kweli iliandikwa in a very polite and communicative manner kama unavyoonesha hapa.
Ndugu yangu km...
Alilamba ubalozi baada ya kushindwa uchaguzi kama ilivyokuwa kwa Dr. Deodorous Kamala aliyeko Ubelgiji (na EU). Nenda kwa mzee Uhuru na Ruto hapo utamkuta dada kajaa tele.
Tujaribu kuwa positive tuna-approach masuala ya msingi. Nani asiyejua viongozi wetu wa chama na serikali hasa wakuu ni "mtama kwa watoto"? Wamo wake za watu na vibinti vya chuo na vilivyoanza kazi maofisini. Si vyema kubeza mtu kwa kutumia vigezo visivyo na viwango. Pima kigezo na kisha uipime...
Kwa kweli na kama tunajali kweli na pia km Serikali inakitakia mema chama chetu kilichopewa ridhaa kwenye uchaguzi (CCM), basi busara, akili na utashi wa hali ya juu ni lazima utumike. Wasi wasi tu ni pale Wassira alipokiri hivi karibuni (akihojiwa juu ya bomu la kanisani Arusha) kuwa wakati...
Kwa kweli na kama tunajali kweli na pia km Serikali inakitakia mema chama chetu kilichopewa ridhaa kwenye uchaguzi (CCM), basi busara, akili na utashi wa hali ya juu ni lazima utumike. Wasi wasi tu ni pale Wassira alipokiri hivi karibuni (akihojiwa juu ya bomu la kanisani Arusha) kuwa wakati...
Nasikitika kuona mtu kama Kufaurongo unakuja na majibu ya juu na yale yale ambayo wanasiasa wasio na vision wanayatamka "pale tu kukiwa na jambo". Sijui wewe ndugu yangu unaufahamu vizuri mradi wa Mtwara Development Corridor? Malengo yake na timeframe ya implementation yake unafahamu? Unafahamu...
Wanajamvi,
Mtakumbuka kuwa Mr. Mkapa, BW alianzisha Mtwara Development Corridor na kila idara na taasisi za serikali zilipanga mipango yao yote kwenye kuutekeleza mradi huo. Takwimu na justifications zote zilitolewa juu ya umuhimu wa mradi huo kwenye kuhalalisha mradi huo kwa upande wa upanuzi...
It seems like it is a topical issue. Ukipitia threads zote, hakuna jipya ulilolipata kwenye hii yangu? Toa comment yako on the substance mkuu ili tuijenge nchi yetu wote.
Sijawahi kuchefuliwa hivi karibuni, ukiacha malumbano ya wanasiasa uchwara, km na hoja zako mfu ndg Salaama.Badala ya kuchangia hoja, umenena km msemaji wa mradi huo au wa serikali. Inaonesha hujui usemalo ila unanena lile lililoko kichwani au litakalowafurahisha wenye mradi wao.
Naomba ujue...
Wachumi makini hawawezi kukubaliana na hatua ya serikali ya awamu ya 4 kutelekeza bandari kubwa zilizopo ambazo zilihitaji vifaa tu na kupanua. Bandari hizi ni za Mtwara (ya pili kwa kina kirefu Afrika baada ya Durban, Afrika kusini), Lindi, Kilwa na Tanga achilia mbali ya Zanzibar. Gharama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.