Rc ni dini tu.. Gwajima ana Yesu.. Wewe shabikia dini yako isiyokutoa hata nuksi.. Hakuna wa kumzuia Gwajima.. Dola ya urumi haikumzuia Yesu kufufuka.. Endelea kushabikia dini huku umejaa laana za familia na ukoo.. Umefunikwa kichawi.. Kila siku unawatafuta wanajimu wakutabirie yajayo na...
Haishangazi Gwajima akishambuliwa maana hata Yesu alikejeliwa.. Kwamba anasaidia wengine naye ajishushe msalabani.. Ila kwa taarifa tu mjue hakuna Wa kumzuia aliyetumwa na BWANA.. Na wote mnaomdhihaki zimebaki siku chache mtakuwa waumini wake tena kwa kubembelezwa.. Hicho kiganga unachokitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.