Recent content by THE BROKER

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nawashwa sana kwenye makalio, nimetumia SKDERM Cream bila mafanikio

    Minyoo hao Mkuuu. Tumia dawa uje unishukuru
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Je, wewe ulikua unatuma pesa au chakula wakati wakiwa kwa Baba yao? Tuanzie hapo kwanza. Bila shaka, jibu ni hapana. So ni wakati wako WA kulea pia na ndio maana halisi ya 50x50 hiyo.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Uko sahihi. Kwani wakati walivyokuwa wanalelewa na baba yao yeyé alikua anapeleka matunzo?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni

    Nipe hii
  5. T

    JamiiForums Tanzania Baba akifa ghafla bila kuacha misingi imara wanao neemeka ni Ujombani

    Huoni wajomba wana mwendokasi za umeme kutoka UK na sisi bado tunaagiza za diesel kutoka china?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo na CNN wana cheti cha ithibati cha kufanya forensic investigations?

    Girison anakuja kujibu na forensic investigation yake mda sio mrefu. Uwakika niliona itakua ni chai tu(full text) bila audio, video au gphics zozote. Nimekaa palee! Akija mniite
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tumeshashinda Uchaguzi huu

    Hahahaha.. Bora ingekua hata Hashim S. Punda yupo.
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Sasa ile hofu yangu inatimia, kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo inafanyika gizani ili watu wasijue

    Kiufupi tunasema ana roho saba kama Paka. Ni muujiza unaoishi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukojoa mara kwa mara

    Ulienda kumcheki?
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii ya wanawake "Nimempa kila kitu still kaniacha"

    Atupe tujifunze
  11. T

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV Samsung inch 55, bei kitonga

    Hiyo ni used Mkuu na sijui sababu ya wewe kuiuza baada ya kuitumia kwa miezi 4. I'm taking a risk for undisclosed information from the buyer, so the discount compensates for that risk.
  12. T

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV Samsung inch 55, bei kitonga

    Ipo 700k cash
Back
Top Bottom