Recent content by The bond

  1. The bond

    Watu mnalazimisha nyeusi kuwa nyeupe Harmonize hawezi kuwa msanii mkubwa zaidi ya Kiba

    Men wapo hukuu wakitukanana mafanikio ya wanaume wenzao .....mende wako njiani ....
  2. The bond

    Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

    Kitu kibaya shabiki wa wcb anaogopa kusikiliza mziki kwa sababu ya chuki anaogopa ataongeza viewers kisa wivuuu .....yani ngoma mbaya na inaenda kuwa trending sahiviii
  3. The bond

    Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

    Gentle una comment za kidada kabisaa .
  4. The bond

    Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

    Daaaaaa ni wanaume wanaocomment humu kupinga juhudi za mwanaume mwenzao au kuna udada mwingi jf aseeee ....just imagine mwanaume kuna vitu unacomment yani mpka ukiwaza ni mtoto au nanii ....Acha wivu usiokuwa na maana na huna kitu ,,MTU wa data za buku au mitano unakuwa na wivu wewee utafanikiwa...
  5. The bond

    Wimbo Mpya wa King Kiba (Mediocre)

    Yanii mwanaume unaandikaa andikaa vitu kama ambaruty hafu chukiii kama mdada asee ...hafu mbna unapoteza sifa za kigentle mzee utapelekwa Mombasa mende wengi
  6. The bond

    Diamond Platnumz aumbuka, azuiwa kupanda Jukwaa Kuu

    Hivi na weweee kweli unataka nchi iwe na vichwa vya kiropokajii kwa misingi ya kujenga taifa ....Too bad unakazia ety watz waoga muoga mwenyewe sisi tunaijoy maisha ..Ukitaka stochastic equilibration huwez ipata duniani kotee ni kwa Mungu
  7. The bond

    Diamond platinumz ni mfalme halisi wa kupewa na sio wakujiita Kama naniliu

    Mwanaume unakubali mwanaume mwenzio kuwa baba lao .tena kwa herufi kubwaaa.....aseeeee utakuwa huna testies
  8. The bond

    YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

    Watoto wa kiume kubishana maendeleo ya wanaume wenzenu dalili ya kuwa kisamvuu
  9. The bond

    Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

    Sawaaaa zuchuu tumesikaa ...pia ongeza sauti huku backbencher wafupi hawasikiiii
  10. The bond

    Harmonize angeomba hili kabla ya tuzo

    Daaaaah muda ufike ambaoo vijana tutaacha kulalama vitu vya watu kila siku Mondi, Kiba, Harmonize. Haya mfano wewe unamkoa Harmo lakini ndo anazidii kutua hivoo. Maisha yanaenda kasii. Tutafute kazii mzee muda wa kuanzisha Uzi huku tutatumia usiku tuone nyuz ngapi zimewakilishwaa. Over!
  11. The bond

    Wasafi kama wanaishiwa hivi...

    Trending sio tatizoo hiii nii kutokana na attention ya watu kujuaa mond atataoaa wimboo gani sahiv na lazmaa watu wakaangalieee ,,sasaa hatuwezii kutoa maoni pasipo kusikilizaaa..... Kwa wanaoelewa Sana'a vizur watakuambia tuu hakuna lolote palee wimbo utabebwa na videooo
  12. The bond

    Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Tatizooo masikiini wengii wa akili humu ndoo wanaooona jamaa hana jipyaa lakn he stil make his own money na kunaa yukoo kwa kaka ake anasemaa hana lolotee
  13. The bond

    Kisa cha Harmonize na Diamond Platinumz ni sawa na cha Fally Ipupa na Koffie Olomide. Afrobeat Album ndo itatoa majibu

    J.F INA wajinga wengii sahiv kulikoo social medial yoyotee ilee mada za celerity za kijingaa kila siku mondi kiba harmonize .vijana embuu elimikenii achen ushabiki wa ajabuu ... Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
  14. The bond

    Harmonize anapojipima msuli

    Ndiooo vijana waliobakia tz ..sikiliza muziki maisha yaendeleee.get rich get die huo ndo uanaume ...sasaa ww dume zima unakufa kifo cha mende kwa mtu.acha ushabiki ambao haukutambulishiii popote .
  15. The bond

    Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Hayaa watuuu wenye mapenzii makubwa na mwanaumee mwenzenuu
Back
Top Bottom