Recent content by the blues

  1. the blues

    Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

    Pole sana jamaa
  2. the blues

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi nafikiri sio lazma sn ulazimishe mtu anaetoka wilayani kwenu kuja ulipo ili wewe urudi kwenu, hata wa jirani na kwenu sio mbaya. Uliepo moshi vijijini, au manispaa njoo MPWAPWA mi nije huko. Idara ya sekondari npo Kibakwe sekondari huduma zote zipo
  3. the blues

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Somji VP? Njoo mpwapwa nije moshi manispaa
  4. the blues

    Kibakwe: Ni Engineer Gabriel Mwikola Vs Simbachawene via CCM

    Yangu macho na masikio tarehe moja kura ya maoni ngoja tusubr, na mwaka huu kigaila Benson wa chadema anagombea Dodoma mjn.
  5. the blues

    Kibakwe: Ni Engineer Gabriel Mwikola Vs Simbachawene via CCM

    Nadhani simbachawene bado anakubalija vijjn kama kule malolo, mang'aliza, garigari, rudi, ipera na chipogoro
  6. the blues

    Nafasi kede kede za Bank of Tanzania - MTWARA Branch

    Mfumo wetu bado ni wa technical know who na cio technical know what, cc tucio na watu naamini tuna Mungu one day yes. Two weeks ago nilikua chuo cha mipango tuliitwa 120 kwa nafas 3 kwenye mchujo 14 wakapenya oral ckujua waliobahatka ilikua nafas ya assistant dean of students
  7. the blues

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka MERU DC, Arusha DC, Arusha CC, aje wilayani MPWAPWA idara ya sekondari. Contacts: 0762430192/0786649031. Karbu mpwapwa
Back
Top Bottom