Sema chadema ndio mnapapatika na huyo polepole wenu.Kwahiyo kwenu mtu akiwafanyia ujinga alafu akaja kuwazuga kwa msamaha wa uongo na kweli nakuwasema ccm tayari kwenu ni shujaa.Kwa hali hiyo mtashikiwa sana akili.Chama hakipasuki hivyo kwasababu polepole sio kigogo ccm useme anawafuasi wakubwa...
Haki gani unatafuta duniani?.Haki hadi ukifa duniani ni mchakamchaka wa mapambano ya mwenye nacho kumkamua asiyenacho.Pambana uwe kwenye kundi la walionacho uondokane na hiyo ndoto yakutafuta haki duniani kitu ambacho hakipo na hakitakuwepo hadi kiama.
Sisi ni kizazi cha kulalamika na kuonea wivu waliofanikiwa.Ndo maana kazi yetu kubwa nikuilaumu serikali nakupiga umbea mitandaoni.Naungana na diamond kwasababu kwenye dunia maendeleo yanaanza na mtu nwenyewe kuanza kujishughulisha.
Inaonekana hata dhumuni la kampeni hulijui.Kampeni nikwaajili ya kunadi sera au ilani.Kwahiyo hata mgombea angekua peke yake bado angepita kwa wananchi kueleza atafanya nini kwa kipindi chake akiwa kiongozi.Jua kwamba hao viongozi wana wafuasi je wafuasi wao watapata wapi wasaa wakusikiliza...
Acha kuweweseka kwakujifanya hamnazo.Uchaguzi sio kwaajili ya kushindana kwasababu sisi wote ni wale wale.Bali uchaguzi nikwaajili yakuonyesha utofauti kati ya huyu na yule ili kukidhi kanuni ya demokrasia ya wengi wape.Sasa kama mgombea unayemtaka kakimbia hiyo ni shida yako cha msingi ni nchi...
Hizo ni ahadi za samia kwa busara zake ila bado hamridhiki.Mnatakaje sasa?.Unatakiwa ujue hakuna anayeweza kumlazimisha bali anapokea ushauri.Sasa kaona uko nyuma kuna mambo hayakukaa sawa bado mnaleta vikwazo vyakutuambia historia ambayo haiwezi kubadilika.Tunatakiwa tuanzia hapa kwenda mbela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.