Dada weee acha whatsup ni kilio cha wenfi ndoa zinayumba na kuchakaa kwa kutukanana n wake wenza ila siyo issue Kula kuliana tafuta kiholder chako tulia chat mpaka uzimie kukimbia mji wako kisa whatup siyo mpango mwanamke kujiamini watatumiana mapicha mpaka wanyegeke ila mwenye nyumba ni wewe...
Lara 1 duh its so sad kwa hii kitu kwakwel ladies jaman hatuna huruma ila kwel kuna mapaka mwitu mbwa koko mtu unamganda mume wa mtu n watoto wameshazaa kama kidonda yaan habari inakuwa kutwa kwa mganga ili umuangushe mwenzio mungu huyuuuuuuu n bado atatembea uchi nachozi n uzuni ya Yule babes...
Bora unyamaze wew wakati wako ulipita Kwan ulipanga kumuoa?c ulishakula mzigo ukapita sasa acha waliomuona kuwa anafaa wamuoe Kula kimya hehehehe kale ka msemo usichezee demu maana hujui wako atakuwajee ndo akoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.