Kampuni yetu inataka muuzaji anayeuza VIOO kwa bei ya jumla na tutafurahi kama tutapata maelekezo madogo kutoka kwake, tuko tayar kufanya kazi na huyo mtu,
Habar za Muda wadau, nina computer yangu HP Pavilion, mwanzoni ilikuwa iko poa sana, Lakini sasa sielewi kabisa,
Nikiweka kwenye chaji basi inafanya kazi safi tu, Ila umeme ukakatika au nikitoa chaji basi inaaanza kuscratch na huwezi tena kuitumia, betri iko poa na inapiga mpaka saa...
Wanaume waminifu tupo, sema kwa mwanamke inabidi au niseme amezoea kuumia na usipomuumiza basi atakuona we fala au mme bwege, yaani anakuona sijui ukoje yaani kama haubadiliki, Mwanaume anaweza akampenda mpenz wake, hacheat wala simu yake haina complications zozote, ni mwanaume anakuwa...
Habar zenu ndugu, nimeamua kuja na mada hii kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.
Dunia hii Kuna kupenda na kupendwa, kumpata na kupatikanka, kuwekeza na kuwekezwa na kuchumbia na kuchumbiwa.
Inasemekana sana binadamu walio wengi ni vigumu sana kuacha mapenzi au mpenzi wa awali..... Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.