Recent content by Thani10

  1. Thani10

    JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    hahahahahahah daaaaah
  2. Thani10

    JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    Hiyooo nayooooo point mzeeee....inbid atuelewesheeeee
  3. Thani10

    JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    so can u help me out to attract her?
  4. Thani10

    JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    hahahahahahahaha braza nipe ujuzi mana nakufa kifo cha kishua na tai shingoni
  5. Thani10

    JamiiForums Tanzania Michapio Takatifu......

    Moja kati ya michapio ambayo nimewahi kuisikia kutoka sehemu Mbalimbali huu ni Kiboko yao.... ...Kuna jamaa angu mmoja alikuwa na njaa sana asa ikabidi tuende kununua Kibanda cha chipsi,Me nikaagiza asaa yeye kutokana na haraka zake akatoa bonge la Mchapio etiih NIFUNGIE CHIPSI KAKI NA MISHKAVU...
  6. Thani10

    JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    Ni kweli ila siyo kwa kamba zangu,ukiona mpaka nimekuja kuyatoa ya moyoni humu inabd uelewe kuwa Simba akikosaga nyama anakula majani.......
  7. Thani10

    JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    Raha ya mtongozo ni TITI 4 TATI:):):)
  8. Thani10

    JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    Kuna dada mmoja namfukuzia kishenzi lakini kila nikirusha kamba zangu naambiwa ASANTE kwa Kunipendaa... Daaaaah huwa inakera kiasi kwamba hadi inaboa asa kwa hiyo Asante nimekupa nini? Funguka kama ushawahi kuexperience hiloo na mbinu za kujikwamua juu ya hilo?
  9. Thani10

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kulipia Hotel/Lodge alafu binti hakutokea ukalala mwenyewe?

    hahaha kwan unadhani kucheza BIKO lazima kwenye simu,alichokifanya huyo ni kucheza BIKO physically
  10. Thani10

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kulipia Hotel/Lodge alafu binti hakutokea ukalala mwenyewe?

    hahahahahahahahahahaahahahah
  11. Thani10

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kulipia Hotel/Lodge alafu binti hakutokea ukalala mwenyewe?

    Braza kwa hayo maswahibu yaliyokukuta ni sawa na ulikuwa unacheza BIKO tuu...Ushaur wangu hzo hela bora ungepanga geto ungekuwa unawaweka vizuri:):):):)
  12. Thani10

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Sinyoma Kilumile-Mwl wa sekondari ya kilimo Kilosa
  13. Thani10

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    do the best god will do the rest...
  14. Thani10

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

    Anajua kutengeneeza script hahahhaha
  15. Thani10

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

    Hizo mambo zilikuwa zinajadiliwa miaka ya 2000/05....sahiv hakunaga mambo hizo,sikuhiz dada zetu hawawasahau wanaume waliokuwa sio wavivu kufungua pochi pekeeee....:):):):)
Back
Top Bottom