Recent content by thandiwe

  1. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mkopo wa haraka jamani ninashida mwenzenu

    Shida zaidi ni kukopa kakaa...kama inawesekana nitakueleza private ili uweze kuridhia au la
  2. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mkopo wa haraka jamani ninashida mwenzenu

    Hata si wa hivyo kaka.. ndugu au marafiki ukiwaambia habari za kukopa haiwezekani..ni kheri niombe kwa wenye ofice za kukopesha au mtu binafsi niangalie terms zao kama nitakidhi vigezo niwezeshwe maana ni ishu imekuja ghafla tuu
  3. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mkopo wa haraka jamani ninashida mwenzenu

    Ahsante kaka naomba nije inbox unipe mawasiliano yako.
  4. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mkopo wa haraka jamani ninashida mwenzenu

    Ahsante kipenzi...majanga haya taabu tupu
  5. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mkopo wa haraka jamani ninashida mwenzenu

    Habari Nina shida sana ya haraka kukopeshwa laki tatu tu kwa mtu atakaeguswa na shida yangu.. Au kama kuna yeyote atakaeweza niunganisha na mtu/watu wanaokopesha kwa riba ndogo sana nitafurahi zaidi, kwani naweza dharirika mwenzenu. Kwa sasa nipo mbeya mjini.
  6. thandiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya vichochoroni

    Mmh sawa kaka
  7. thandiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya vichochoroni

    Tena huko ndio hatari..khaa
  8. thandiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya vichochoroni

    😂😂😂
  9. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Namtafuta sana huyu jamaa!

    Mtupe na sie deal hizo looh😂
  10. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu umerahisisha sana taratibu za mazishi na ndoa.

    Mie naona ni hulka ya mtu tu..
  11. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Nyama za Wanyamapori kuanza kuuzwa buchani

    Eh jamani kulishwa mbwa hivihivi ati utasikia Swala huyoo
  12. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    😂😂 mwee
  13. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Geita yajenga shule ya Serikali ambayo ni English medium

    Umoja sio ya serikali kaka, mkapa yes
  14. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Geita yajenga shule ya Serikali ambayo ni English medium

    Bt not sure kuwa ni ya kwanza nje ya Dar. Arusha ipo pale. Pia mbeya wanayo ati, nadhani ni 'Mkapa English Medium'.
  15. thandiwe

    JamiiForums Tanzania Geita yajenga shule ya Serikali ambayo ni English medium

    😂😂😂
Back
Top Bottom