Wanazo pesa zao, lakini wengi wamefeli sana kufanya unachowashauri, na waliothubutu kufanya wanatamani kurudisha siku nyuma wabadili maamuzi yao!
Mfano mzuri, nina shemeji yangu anafanya kazi nzuri tu,(shirika la kimataifa), miaka kadhaa nyuma bro ali-cheat na demu wake wa zamani huko, akapata...