Recent content by Texas Tom.

  1. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete apewe tuzo ya rais bora katika ukanda wa maziwa makuu

    Ningeona ubora wake iwapo angewatafutia ajira vijana wa Lumumba kwenye mabenki ili kupunguza jam humu JF maana kule watu wapo busy hakuna muda wa kuja jf kutema pumbapumba ..7,000 x 28days = 196,000/= wangelipwa hata 250,000 kwa mwezi wawe serious kidogo
  2. Texas Tom.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Talaka za ajabu hapa duniani

    1. Jamaa ampa talaka mkewe kwa kuonyesha aibu kubwa na kugomea unyumba kwa mwaka mzima Mahakama moja huko Tainan (Taiwan huko) ilikubali maombi ya bw. Chen 38 kumlima talaka bi. Lin 29 (wote walimu) baada ya kuwa aibu ya hali juu na kugoma kabisa kutoa unyumba na wakati wa kulala alikua...
  3. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni kujionea Athari za Mafuriko

    pale anayashangaa maji, watoto wadogo kuleee wanamshangaa Rais
  4. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    habari za kubet.....si ukafanye hata betting EPL upate ela zaidi za hizo buku 7
  5. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Nassari: Dalili za serikali iliyochoka na mawaziri waliochoka hii hapa

    ha ha hahahaha hakyamungu
  6. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Lowassa akwepa tena mahojiano ya Live na Clouds FM

    hivi huyu ndo yule mchezaji wa simba fc ?
  7. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Uzindua wa mitambo maalum ya usimamizi wa Mawasiliano & wa Kudhibiti Matukio ya Uhalifu wa mtandao

    ahh wap!! naona Facebook Facebook kule na ma graph graph tukamatwa vip?
  8. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuyanunua makundi ya kijamii kumuunga mkono, Edward Lowassa sasa avinunua Vyombo vya Habari

    nilifirikiri ni typing error lakini umerudia, (MWIZI)....haya elimu ya bure c.c.m imeuwa, naomba ufanye mambo M-Pesa chap......
  9. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo Tarehe 13 Mei, 2015

    ......Mbunge mmoja hapa, katika ubora wake wa ujinga wa hali ya juu kabisa....anamuomba Spika kwa hisia kali kwamba amalize tatizo kubwa sana la Parking za magari ya Wabunge....anadai ni tatizo kubwa mno na linalokera sana......na anataka majibu ya Serikali. Mbunge kama huyu atanitia jela mapema...
  10. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Pinda: Mafanikio ya awamu ya nne

    tumefanikiwa hasa kwa wizi wa kila aina...kweli Mwenyezi aliwajalia Waisrael katika vita, lakini Tanganyika ndani ya Tanzania tumejaliwa zaidi katika mbinu za kuiba.... Baba kamuibia mwanae, mke anamdalalia mumewe gari...duh Bongo raha
  11. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Jumamosi tar 16/5/2015, Arusha kusimama kwa muda, Lowassa kutangaza nia Shekhe Amri Abeid

    hii kitu mnaita cyber crime nafikiri aliesaini kapata hasara ya wino tuu
  12. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Lowassa aibuka na staili ya CHADEMA

    Hivi huyu jamaa akiukosa urais nini kitatokea ?? binafsi nahofia atabasti moyo
  13. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Lema mother's day!

    Fisa nasa Male
  14. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania John Nyerere kuagwa leo, Msasani

    haya kaka...na Stive Nyerere ni bandugu yao?
  15. Texas Tom.

    JamiiForums Tanzania John Nyerere kuagwa leo, Msasani

    Ni ndo mwanajeshi wa kwanza kufariki kwenye hili Taifa ?? au mwana wa Jullius ?? wengine ndo tunatua hii ardhi sasa hivi...... mods hebu sogezeni hizi habari kwenye jukwaa la mambo mengine
Back
Top Bottom