Recent content by TETENASI

  1. T

    Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Tano 2015-2020 atakuwa nani?

    Ndungu bwana mdogo ridhiwani kikwete ,tusubiri tuone tumekwisha
  2. T

    Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Tano 2015-2020 atakuwa nani?

    Atakuwa kijana mdogo ridhiwani kikwete mtake msitake,ndio sababu ameandaliwa ubunge wa jimbo la chalinze .lets by time .akuna cha lowassa ,cha membe ,sita wala kingunge yoyote kumbukeni ile mizengwe iliyofanyika kwa raisi wetu mkapa,sasa tutegemee hiyo mizengwe.
  3. T

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    jamani lazima tufahamu kuwa ukimfadhiri binadamu utahambulia matusi ,ni bora ukamfadhiri mbuzi utakula nyama utapata mbolea .utapata ngozi.binadamu ni mzito sana.haya ya kabwa ni marudio ya matukio mengi yaliyowahi kutokea hapo nyuma simnakumbuka ya mzee kolimba ?kuna tofauti nahaya ya kijana...
  4. T

    Wilaya ya Kongwa wananchi wananunua ndoo ya maji sh.1,000 wanakula unga wa ubuyu, nyumba za tembe

    jamani mnashangaa nini?ccm ilikuja nasera za ujamaa ukafa wakaja na azimio la arusha likafa ,wakaja tufunge mikanda mpaka leo bado tunafunga nani kafungua ? labda mafisadi.maana-ake mafisi.wakaja na ufagion wa chuma .ulimfagia nani kama soi katabaro.haya sera za ukweli na uwazi .hapa balaa kila...
  5. T

    Wilaya ya Kongwa wananchi wananunua ndoo ya maji sh.1,000 wanakula unga wa ubuyu, nyumba za tembe

    jamani mnashangaa nini?ccm ilikuja nasera za ujamaa ukafa wakaja na azimio la arusha likafa ,wakaja tufunge mikanda mpaka leo bado tunafunga nani kafungua ? labda mafisadi.maana-ake mafisi.wakaja na ufagion wa chuma .ulimfagia nani kama soi katabaro.haya sera za ukweli na uwazi .hapa balaa kila...
  6. T

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Nadhani kila mtu ana muono wake kutokana namazingira anayoishi'ebu tumtazame chenge huyu ninani? kama sio fisadi.hizo ninjia mojawapo za kutuibia sisi watanzania .uchaguzi unakuja tunaanza kuibiwa ili izo hela zisaidie kampeni .kwani akuna njia nyingine yakukusanya kodi?mpaka mchukue hela za...
  7. T

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    jamani hivi kuna haja ya muungano kweli ? hivyo serikali izi mbili zinafanya nini juu ya huu muamsho?jamani wakrito wamekosa ninin ktk nchi hii?tunaenda wapi?pole sana padri mungu akusaidie akupe nguvu upone haraka.tumsifu yesu christo. ameeeeeeeni.
  8. T

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Hivyo huyu nape nani kampa huwezo wa kuzungumza upumbavu kama huu.kasomea shule gani huyu?mbona anaongea pumba ?sidhani hata kama alifahuru somo la mahalifa ,maana-ake anaongea pumba sana.naona kama vile ana uwendawazimu au ukichaa fulani wa dkk 2 mbele .naomba atueleze hizo pesa kwenda kwa...
  9. T

    Kofia kama ya Mwigulu sasa kuvaliwa na Kigwangalla

    hawa ccc/ccc/mmm hawana lolote soma nyakati utaona wameshakwisha ,wanatembea na viwiliwili tu spirit haipo kabisa .tutayarishe majeneza yao tu mwaka 2015 .nawapa pole sana.
  10. T

    Kofia kama ya Mwigulu sasa kuvaliwa na Kigwangalla

    Watu wenye akili timamu huwezi kuwadiscus watu kama hawa .tunapoteza mda wetu bure .ni watu wasiobadirika hata chembe .msomali kumpa uongozi wa chama hamuoni kuwa nitatizo? Na hiyo kofia nikujifanya comred kama marehemu samora machel kitu ambacho awakiwezi kuitwa comred .afrika ni mmoja tu ni...
  11. T

    EZEKIEL MAIGE: Mbunge wa Msalala CCM, NAIBU Spika,Hakuwa sahihi kutomsikiliza Mbowe!

    Nadhani mh maige yupo sahihi kwa upande mmoja na hayupo sahihi kwa upande mwingine wa shillingi.ccm ni hileile tunayoijua .lipi jipya kwetu sisi tulionje na ccm .tatizo ukilitimba wa ccm auna tofauti na ukilitimba wa museveni na comrade mugabe .ni watu na vtama vyao visivyotaka kuazia nchi ili...
  12. T

    Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

    nadhani wakati umefika tuwe wakweli tuache brabra .huwezi kubeba mzigo kwa mtu usimjua, hawa utumwa na wakubwa mapapa wa nchi hii.basi kama ni hivyo wawataje tu wahache kuficha.wateswe waseme ukweli kama alivyotaja masosange baada ya kuteswa .tuache kulea hawa watu .nilishasema hawa watu...
  13. T

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    kagame ni mtu hatari sana kutokana na maelezo tuliyoyapokea .kumbuka kagame alimuuwa habiyalima naraisi wa burudi.na alishausiswa na mahuaji hayo ambayo hat ufarasa bado hawana imani naye .mtu kama kagame jinsi alivyoslim unategenea nini?antaka kuhiuwa africa mashariki ,eti yeye na kenyatta na...
  14. T

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Kagame na museveni ni marafiki sana tena wana undugu wa karibu ndio sabaabu wote kwa pamoja wanahitaji dhahabu ya congo .ndio sababu viongozi hao walikutana na kenyatta .ni unafiki anaohufanya kuahunganisha na maraisi hao .tusubiri watajuta baadae .kagame ni nyoka wa vichwa saba,
  15. T

    LOWASSA kila akisimama Bungeni kuongea,BUNGE huzizima kwa Nderemo hii inashiria nini?

    sisi wantanzania tuna matatizo sana tena sana ya kufikiri, hivyo hii hali ya umaskini ktk kipindi hiki cha raisi wetu JK mnajua kimeletwa nani? au ni ushabiki tu usio na maana .lowassa atuongoze kwa lipi?mbona watanzia wavivu wakufikiri maubongo yetu yana matatizo gani?hivyo milioni 152 kwa siku...
Back
Top Bottom