Recent content by Terms and conditions

  1. T

    JamiiForums Tanzania Siamini kama kuwa tajiri kunahitaji akili,maana matajiri wengine hawana akili kabisa

    hizo pumba zao ndio njia yao ya wewe kuwapa attention na wanahitaji attention yako ili wawe matajiri
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mna uhakika kweli hawa nyuma mwiko ni timu ya mpira?

    YANGA inafanya kitu ili uendelee kuangalia mpira, mambo sijui ya serikali yakifika FIFA itakula kwetu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

    2030 namuona rizmoko akpitishwa kugombea😄
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

    Kuna siku nipo chuo natoka venue nikaona mchina kaja kwenye bodaboda, ndani ya tisheti sijui kaficha nini, pamevimba af kashikilia na mkono, kafika eneo la karibu na administration block akapiga picha majengo halafu akageuza,... Nilikuwa namchora tu nkabaki nashangaa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Nahisi ukijua kufanya tathimini vizuri, ardhi anaweza kukulipa vizuri, sio kimiliki ardhi popote.. wengine kama real estate agent wanaangaliaga hata mipango ya serikali kuboresha eneo hilo sabab wanajua kama eneo halikuwa na maji na umeme, siku vikiwekwa thamani ya ardhi inapanda mno
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

    Kuwapa watu kipaumbele ukasisahau mwenyewe
Back
Top Bottom