Recent content by terasy

  1. terasy

    Epuka Makosa Yafuatayo Kama Umeamua kuanza Biashara ya Cryptocurrency

    Aisee btc Sasa hivi yupo kwenye $100,000 watu ndio tunazinduka😀😀
  2. terasy

    Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

    Fanya na hii mkuu Bado siku nne tu https://t.me/DurovCapsBot/caps?startapp=1693070406
  3. terasy

    Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

    https://t.me/DurovCapsBot/caps?startapp=1693070406 Bado siku nne iishe, Huwa inasumbua kufungua washa VPN fungua then Zima vpn
  4. terasy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Mbeya Mimi naishi Ilomba mtaa wa ituha saiv Kuna tatizo la umeme ni week saiv hatuna umeme mchana Wala usiku tunaomba msaada wenu na biashara haziendi kabisaa nimepiga sana cm haipokelewi 0762478938
  5. terasy

    Kuna mtu kapata kazi ya kukusanya anwani bila mchongo?

    Kijiji gan hicho Nije fasta maaani mi nmekosa had vijijin
  6. terasy

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ningeipata hii Safi sana tatizo ipo mbali
  7. terasy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba ya taarifa niliipata jumatano usiku baada ya kupiga simu kwa muda mrefu nlipojaribu usiku ndo ikapokelewa ila tangia nmepewa hyo no nikpiga simu kuwakumbusha haipokelewi na wakat mwingine haipatikani kabisa. No yenyew hii +255252504219
  8. terasy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkoa wa mbeya simu hazipokelew napiga simu had nachoka. Umeme hauwak nyumban siku ya tano leo lakini kwa majirani ambao tunatumia nguzo moja unawaka, pia unit zipo na socket breaker ipo vizur nahitaji msaada wa haraka leo siku ya tano bila umeme JINA ATU TETE ENEO ISYESYE KARIBU NA MWAKASOLE...
  9. terasy

    Fursa inawezekana kwa mtaji mdogo wa Tsh 25,000 ukapata faida ya Tsh 50,000 per day

    Ok nashukuru sikuwa online nitakutafuta j4 baada ili nipafaham then iwe rahisi kwenda j3 coz Nina muda wa kutosha tu
  10. terasy

    Fursa inawezekana kwa mtaji mdogo wa Tsh 25,000 ukapata faida ya Tsh 50,000 per day

    Siku unayokwenda kuchukua tafadhali nielekeze nipate kuchukua pia
  11. terasy

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Mi niliagiza mkoba kikuu nililetewa kimkoba kibaya na hakuna ubora kabisa tofauti na waloweka kwenye picha sina hamu na kikuu mimi
  12. terasy

    Fursa inawezekana kwa mtaji mdogo wa Tsh 25,000 ukapata faida ya Tsh 50,000 per day

    Nataka nifanye biashara hii nahitaji kujifunza kutoka kwako ni wap pa kuchukua mZigo na jinsi ya kutafuta soko nipo mbeya pia nitashukuru iwapo utanipa support
Back
Top Bottom