Recent content by terabojo

  1. terabojo

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Mwenyekiti ZEC hawezi kufuta uchaguzi peke yake

    Sawa Sawa
  2. terabojo

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa amani kufanyika kesho, Oktoba 11, 2015, Blue Pearl Ubungo Plaza

    Haki Kwa Wote Kwanza
  3. terabojo

    JamiiForums Tanzania Airtel nao wafanya yao tena

    Mtandao wao unafikia maeneo yasiyokuwa na mawasiliano kama kata ya Nyanzwa iringa ambako vitunguu vinalimwa kwa wingi.
  4. terabojo

    JamiiForums Tanzania Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Wana JF, kwa wewe umbae unaweza kupenyeza ushauri kwa mamlaka husika, washauri wafanye yafuatayo: Waongeze mashine ktk kila kituo japo zwe 5 na wahudumu watano. Wawasimamie na kuwaongoza kwa karibu zaidi wale makarani. Maofisa watendajimna weneyeviti wawe karibu na rai ktk kila kituo mtaani...
  5. terabojo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa shule za msingi na uchumba, Nyanzwa

    Wana JF, kuanzia Februari had June nililima vitunguu na kuvuna katikati ya mwezi uliopita. Nililima katika kijiji cha Nyanzwa ambacho ni kilometa 58 kutoka Ruaha Mbuyuni ukielekea Iringa. Kule nilisimuliwa mambo mengi na moja ambalo lilinistua ni kuambiwa kwamba watoto wa kike ambao wanasoma...
  6. terabojo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa shule za msingi na uchumba, Nyanzwa

    Wana JF, Kuanzia Februari had June nililima vitunguu na kuvuna katikati ya mwezi uliopita. Nililima katika kijiji cha Nyanzwa ambacho ni kilometa 58 kutoka Ruaha Mbuyuni ukielekea Iringa. Kule nilisimuliwa mambo mengi na moja ambalo lilinishtua ni kuambiwa kwamba watoto wa kike ambao...
  7. terabojo

    JamiiForums Tanzania Ekari 50 zinauzwa huku kijiji cha Kivinja B, unaingilia jaribu mpakani

    Wana JF, Kuna ekari 50 za kijiji cha Kivinja B zinauzwa zote kwa Shs. 20,000,000/= tu. Anayetaka awasiliane nami: terabojo@gmail.com Ukiafikiana na uongozi wa kijiji utalipa kupitia katknakaunta ya kijiji katika tawi lolote la NMB. Mwambie na mwingine.
  8. terabojo

    JamiiForums Tanzania Tiba ya kisukari

    Wana Jamiiforum, kama wiki mbili zilizopita nilibahatika kusoma habari za padri wa kanisa katoliki huko Bukoba. Kifupi alipelekwa Muhimbili na akalazwa ICU kwa ugonjwa wa kisukati na figo. Wakati anatayarishwa kupelekwa India akapata habari za kuwepo tabibu wa kisuka kwa jina la Dr John Kidua...
  9. terabojo

    JamiiForums Tanzania Eneo la heka 10 mita 50 kutoka chuo cha S.T. Augustine Vikindu Linauzwa

    Wanaq JF ninauza plot za ukubwa wa 20X50 ktk kijiji cha Kivinja B/Mkenda - ni 9KM kutoka Jaribu mpakani. Ukilipa unatambulishwa kwa serikali ya kijiji. Bei a plain 1.5 million. Karibu 0787488922
  10. terabojo

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wasiogopa majini angalieni hizi picha za majini

    MzizMkavu: nilisoma namba ya shekhe wako mara siioni tena! Iweke tena mtandaoni jamani.
  11. terabojo

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wasiogopa majini angalieni hizi picha za majini

    Duh! MziziMkavu unatisha kwa elimu dunia.
  12. terabojo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bibi bomba Kuvua taji

    amsaidie babake kuuza watanzania ktk ukahaba uarabuni - serikali ilimpa kibali:angry:
Back
Top Bottom