Recent content by tepetepe

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta ya mzeituni(olive oil)

    Habari wadau.! Nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbalimbali nimegundua faida nyingi sana za mafuta ya mzeituni. Mwenye kujua wapi yanapatikana anifahamishe wadau
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye akili bado nakuhitaji

    Habari wapendwa nimerudi tena kuwasilisha nia yangu ya dhati ya kuvuta jiko na Kwa maoni yangu December mwaka huu isipite bila kupata mtoto wa kuwekwa ndani kuhusu dini me ni Lutheran Ila hicho sio kigezo sana.. Nawasilisha hoja na pia nakaribisha maombi Kwa mabidada mliopo humu. Sent using...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke anayejitambua

    Nina 30 years now. Kwa kifupi nilipokuwa kwenye 20s nilikuwa mtu wa bata sana lakini nikaja kugundua hizi bata haziishi nikajipa muda wa mwaka mzima no bata no new relationship ili niweze kutuliza akili. Sasa naona akili iko sawa nahitaji mwenza nimchuje nione kama atanifaa tufanye maisha maana...
Back
Top Bottom