Recent content by TengeRA

  1. TengeRA

    Mashamba ya bei rahisi

    morogoro maeneo gan mkuu
  2. TengeRA

    Ngaja traders na Pongwe farm wanajishughulisha na nini?

    Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, Naomba kupata taarifa kuhusu Pongwe farm na Ngaja traders 1. Zinajihusisha na nini 2.Ofisi zao hapa Dar au kokote ziko wapi 3.Mkurugenji wao ni nani 4.Contact detail zao Natanguliza shukrani
  3. TengeRA

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    natafta nyumba iwe na 2rooms 1 master luku yangu maeneo ya salsal iwe ndan y fence budget 120 nipe muongoz mkuu
Back
Top Bottom