Mashamba ya bei rahisi

Mashamba ya bei rahisi

Kama uhitaji utakuwepo bado mnakaribishwa Wilayani Handeni mje mjipatie ardhi yenye rutuba kwa gharama za Elf 80 hadi laki moja.
Nauli kutoka DSM hadi Handeni ni elf 10 tu, unatoka asubuhi na Jioni unarudi DSM, usafiri upo Wa kutosha na luxury, Barabara ni lami hadi Handeni.
Kubwa zaidi hivi mchakato unaendelea kwa ajili ya Ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata Mihogo hivyo nipotential area kwa sasa!
VIP upatikanaji wa MAJI na kiangazi kinakuaje,udongo ni wa rangi gani
 
Kiasi kikubwa ni Udongo Mwekundu, Mfinyanzi na Mchanga ni baadhi ya maeneo Machache tu., Maji ni Changamoto hususani kipindi cha Kiangazi hivyo kama unahitaji Kilimo kwa Mwaka Mzima lazima uchimbe Kisima, vinginevyo utafute Shamba ambalo limepitiwa na Mto Msangazi!
 
Kama uhitaji utakuwepo bado mnakaribishwa Wilayani Handeni mje mjipatie ardhi yenye rutuba kwa gharama za Elf 80 hadi laki moja.
Nauli kutoka DSM hadi Handeni ni elf 10 tu, unatoka asubuhi na Jioni unarudi DSM, usafiri upo Wa kutosha na luxury, Barabara ni lami hadi Handeni.
Kubwa zaidi hivi mchakato unaendelea kwa ajili ya Ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata Mihogo hivyo nipotential area kwa sasa!
Nimetoka huko, uko sawa kabisa heka haizidi laki na shamba unakuta halipo mbali na barabara
 
Kiasi kikubwa ni Udongo Mwekundu, Mfinyanzi na Mchanga ni baadhi ya maeneo Machache tu., Maji ni Changamoto hususani kipindi cha Kiangazi hivyo kama unahitaji Kilimo kwa Mwaka Mzima lazima uchimbe Kisima, vinginevyo utafute Shamba ambalo limepitiwa na Mto Msangazi!

Nimeomba mawasiliano yako mkuu
 
Kama uhitaji utakuwepo bado mnakaribishwa Wilayani Handeni mje mjipatie ardhi yenye rutuba kwa gharama za Elf 80 hadi laki moja.
Nauli kutoka DSM hadi Handeni ni elf 10 tu, unatoka asubuhi na Jioni unarudi DSM, usafiri upo Wa kutosha na luxury, Barabara ni lami hadi Handeni.
Kubwa zaidi hivi mchakato unaendelea kwa ajili ya Ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata Mihogo hivyo nipotential area kwa sasa!

Mkuu, mazao gani yanakubali sana maeneo hayo?
 
Kiasi kikubwa ni Udongo Mwekundu, Mfinyanzi na Mchanga ni baadhi ya maeneo Machache tu., Maji ni Changamoto hususani kipindi cha Kiangazi hivyo kama unahitaji Kilimo kwa Mwaka Mzima lazima uchimbe Kisima, vinginevyo utafute Shamba ambalo limepitiwa na Mto Msangazi!
Handeni sehemu gani?
 
Kama uhitaji utakuwepo bado mnakaribishwa Wilayani Handeni mje mjipatie ardhi yenye rutuba kwa gharama za Elf 80 hadi laki moja.
Nauli kutoka DSM hadi Handeni ni elf 10 tu, unatoka asubuhi na Jioni unarudi DSM, usafiri upo Wa kutosha na luxury, Barabara ni lami hadi Handeni.
Kubwa zaidi hivi mchakato unaendelea kwa ajili ya Ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata Mihogo hivyo nipotential area kwa sasa!
ni Pm mkuu !
 
karibu morogoro mashamba yapo meng sana
 
Back
Top Bottom