Recent content by Tengeneza Njia

  1. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    sikuhizi vilemba vingi, hata ambao waliokuwa hawavai imewabidi tu wapite na huu upepo. mpaka kuna awards
  2. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    kama ambavyo kunatakiwa uwe na weledi katika kuitazamia nchi kama inafuata misingi ya demokrasia, ni vema pia haya masuala ya udini, ukabila, jinsia idadi ya wanawake na wanaume katika uongozi yazingatiwe kwa mapana yake.
  3. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindi ni wachafu sana?

    Niliishi nao hawa ughaibuni - tabia hii ni sifa yao kubwa!
  4. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa - Kibaha kwa Mathiasi

    karibu!
  5. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa - Kibaha kwa Mathiasi

    Kiwanja Kinauzwa! Mahali: Kibaha kwa Mathiasi. Bei: Milioni 60 (kunamaelewano). Maelezo: Kipo karibu kabisa na barabara ya kuu ya morogoro - upande wa stendi ya daladala kuelekea Ubungo (mjini), 35 by 20, kizuri kwa ajili ya eneo la biasahara/makazi.
  6. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

    Hili si jimbo la spika? DJ Waleteeeeeeeee
  7. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania CCM msaidieni Ole Sabaya, ni mwenzetu tusihukumiane

    Hata kama kuna maeneo kijana huyu alikengeuka, nadhani nguvu ya chama ionekane pia. mtu akiwa mwanachama wa sehemu fulani anastahili kuona au kufaidi uanachama huo mfano ni matukio kama hiki kinachoendelea kwake.. Msaidieni mwanachama wenu aone ile kadi aliyonayo kwenye droo kule chumbani ina maana
  8. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Kwahiyo wanaoenda benki ni maprimitive
  9. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ nina uhitaji wa kazi

    pamoja na kuwa unaweza kupata kazi humu, toka nje tembelea hizi sehemu ulizoandika hapa, omba kumuona meneja au HR, acha CV yako hapo.
  10. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Taasisi zinazotaka malipo lazima ufanye benki kwa ulazima na upeleke risiti ile ya benki unasemaje?
  11. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Na wiki za huduma kwa wateja
  12. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja...
Back
Top Bottom