Recent content by Tendeni haki

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kama ulipozaliwa ulikuwa hujui unatoka wapi kwanini basi tukifa tunaambiwa tunaenda mbinguni nk?

    Soma biblia acha utani.Wanadamu sote tumeumbwa.soma kitabu Cha mwanzo kinachofuata ni kuzaliana ambako pia hutegemea power of God. pia siyo Kila mtu akifa anaenda mbinguni. Waebrania 9:27Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; NB Mbinguni pana credentials zake...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tuombe kazi kupata inawezekana ata kama competition ni kubwa hasa kupitia ajira portal

    Kwa Msaada wa ajira portal na mifumo mingine.* Kama umesahau password, umesahau email,nk natoa msaada binafsi tuwasiliane kwa 0792715343
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mwingine wa Israel atuhumiwa kumdhalilisha bBikra Maria

    Ana uhakika kwamba huyo siyo Mariam bali ni sanamu pengine ni njia ya kutusaidia kuacha ibada ya sanamu
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

    Kwa ambaye hakuwai kusoma Uzi wa shetani huu ni mmojawapo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Utatuzi changamoto za ajira portal nk kama kusahau password, kusahau email nk

    Uzi unasema personally.customer service hawatengenezi akaunti,hawakusaidii kuapply,hawakusaidii kujaza taarifa zako ajira portal nk lazima tusaidiane wenyewe since they deal with critical issues..
  6. T

    JamiiForums Tanzania Utatuzi changamoto za ajira portal nk kama kusahau password, kusahau email nk

    personally kama una changamoto tuwasiliane kupitia 0792715343
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio style universal ya kumfanya mwanamke anyeshe, haijalishi ni wa aina gani, kwao ni California au Bunda lazima anyeshe

    Mada za ivi ni za watu walioshindwa ndoa, au ndoa zao Zina matatizo ambayo wanadhani suluhisho lake ni staili za kishetani za kuzini(Wala siyo tendo landoa Pia mada hii inawahusu wazinzi (wasiotosheka na wake zao au waume zao) ambao mara nyingi wanahonga na kutafuta jinsi ya kupambania hongo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

    Lakini tusiache kuielewa (sisi waKristo) kuwa sanamu siyo Yesu.Aliyeivunja anaondoa ibada ya sanamu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Suluhisho lako la kuzaa na mke yeyote ni la kipumbavu) .Tatizo la kuopata mtoto wa kiume haitakiwi kukufanya ujifananishe na jogoo,au beberu,nk ambao huzaa ovyo (because they aren't human) Wanaokupa mipangilio ya kisayansi na ya wanyama inayohusu staili za kulala na mwanamke(staili za wanyama...
  10. T

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    IKIWA unaruhusu maoni yetu au msaada wetu (tusio wa mamlaka hiyo) Naomba uweke screenshot ya maelezo unayopewa kuhusu kufungwa kwa akaunti Yako.Pili,tuwasiliane kwa 0623446608 nikupe msaada wa kimawazo na kitaalamu (binafsi) I hope utasaidika.Asante!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa wazi kuhusu uwepo wa Mungu(naked truth about God's presence)

    https://youtu.be/1WgQNDqqQCY?si=TuL36tnA1Di_RFRr
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio ninapokuwa na walakini na uwepo wa Mungu

    https://youtu.be/pIDKfPpNJaI?si=rQ3POL_GJhuNKr3c
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwa changamoto ya AJIRA portal

    Tusaidiane kupitia 0623446608
  14. T

    JamiiForums Tanzania It matters most for our eyes and ears to receive the positives

    Click the link below for more https://youtu.be/1WgQNDqqQCY?si=56OmHwevGi1dck_H
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu wa somo la historia ya Tanzania na maadili chukua izo notis zitakusaidia

    Ukihutaji notsi zaidi kwa kidsto Cha pili historia ya Tz,English na kswa mtaala mpya tuwasiliane kwa 0623446608
Back
Top Bottom