Recent content by tendega

  1. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwa

    Mbagala nako kuna binadamu jamani dah!kwahiyo ningeandika naishi mbezibeach ingekuondoa wasiwasi?hayo yaliyokukuta yaseme hapa ili mnunuzi awe na tahadhari.
  2. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwa

    Pikipiki ni yangu na kadi halisi IPO
  3. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwa

    TVs star 125 no C ipo katika hali nzuri. Engine safi haijafunguliwa. Kadi halali IPO Bei:1050000 0624474871 IPO Mbagala
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile umetuachia Vodacom kuwa kibanda umiza? Haya sasa makabwela acha tusage lami

    Hawa voda siwaelewi kabisa yaani GB 1 nimeingia Twitter dakika 20 mb zaidi ya 600 zimekwenda?nimewapigia simu wananiambia nifanye setting ya data usage wakati Siku zote natumia kifurushi hichohicho
  5. T

    JamiiForums Tanzania Fursa kilimo cha mahindi mkoa wa Ruvuma

    Kama watalima kwa pesa zao mazao yatakuwaje yako?hebu fikiri kwanza
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndege mmoja uliyemshika mkononi anathamani kuliko 100 waliopo porini,kwahiyo nakushauri turbo mkeka chukua chako meridian hao wana option hiyo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yani kila ulipokuwa unaweka ulikuwa una win tu?haukuwa unaliwa?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwani ukiweka stake kubwa hailiwi?hivi unaliwa kwasababu ya stake ndogo au kwasababu umekosea kubashiri?Mimi nafikiri kuweka stake kubwa kunakufanya upate profit kubwa pale utakapo shinda.na utakapoliwa ni kinyume chake.kwahiyo tofauti ni ukubwa wa profits/loss tu.so vinginevyo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio lazima uende kwenye office zao soma vizuri hapo chini kuna maelekezo yote
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pamoja nimekusoma mkuu,ntajaribu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huko kote nimeelewa,swali langu ni Je? Home akishinda vipindi vyote mkeka umekufa?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Je?ukiweka yes na timu uliyochagua ikashinda vipindi vyote inakuaje
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi natumia crdb unajua procedure unielekeze
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi ni ligi gani zinazotoa sana GG?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Gram ngapi zatosha kwa ekari 1 kwa kuzingatia nafasi za kitaalam
Back
Top Bottom