Habari
Kwa anayejua haya makampuni msaada wa kushare contacts,
Mfano kuchukua wafanyakazi kila siku kuwarudisha majumbani na muda mwengine kuwaleta kazini, coaster au aina nyingine ya magari yote ni sawa
Ukiamini hata ukitumia lako linaweza kufanya, mfano maji ya baraka wengi wanatumiaga maji ya kawaida tu lakini yanaombewa na wanakuwa na imani yatafanya kazi
Habari
Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1 tu kisha anafariki
Mwaka huu walienda hospital kubwa kidogo kufanyiwa monitoring lakini issue...
Kwenye Lucid dreams hapo wadadisi kama sisi na wewe wanaishiaga kwenye drugs ni pakuwa napo makini maana wanasema kuna baadhi ya drugs zinakuweka kwenye hyo state na wasaka maarifa watajaribu kuona na huweza ukawa addicted na mambo mengine kufuata
Walioshauri vibuyu wezi wengi wapo fiti sikuhizi wanatumia vibuyu vya bei mbaya kuhakikisha kazi zao zinaenda na utahitaji kibuyu premium kumfikia:D maana yake ukienda upande huo utaishia kupigwa tu pesa na wataalmu wa kweli wanahesabika wengi ni kama jamaa huyo
Ndio maana sikuhizi vijana wengi...
Nature ya uwepo wetu ipo complicated sana , mengi yatabaki kuwa mystery ni kama tupo kwenye testing enviroment hivi na mtu anatuangalia tu tunavyohangaika
Kuna mengi sana hata sayansi inashindwa kuyaelezea na pia hakuna kinachoanza from nothing also hakuna anayeweza kuelezea nini kilikuwepo...
Hakuna , ila ukiamua unaweza , ndugu yangu alijaribu akashindwa mwisho wa siku akaanza kusema amelogwa awe anasikia harufu ya pombe muda wote . lakini ni wewe mwenyewe tu tafuta hobby nyingine au anza gym
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.