Recent content by temoin

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Kweli kabisa hata kama mwanamke ndo anayekurudisha nyuma jamii itaona we mwanaume ndo failure
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Zaidi ya mara 7 ila mimi ndo hivyo nilisha move on na maisha yangu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Kweli mkuu mda mwingine namuonea hadi huruma ila ndo hivyo tena maji yakimwagika hayazoeleki
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Mwanamke wangu wa kwanza niliyezaa nae mpaka leo hii anajuta kwa kufuata mkumbo mwisho wa siku amepoteza vyote yukoyuko tu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Wakishapata nguvu wanabadilika mkuu hata kama alilelewa vyema
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Kuna series moja maarufu inayotrend duniani kwa sasa inaitwa SILO , hii series imeanza kutoka 2023 mpaka sasahv inaendelea iko season 3 ambayo imetoka mwaka huu 2026. Kuna familia moja ya Black , mume anaitwa robert na mkewe camille, wote ni watu weusi. Kinachosikitisha ni kwamba mwanaume hapo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania OCTOBER: Mwezi wa malkia wa rozari takatifu

    Tumsifu yesu kristu. Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa mkombozi na mwombezi wetu. Ingawa rozari husaliwa na wakristo kila siku ila kanisa liliona ni vyema...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Sema wanawake bwana mda mwingine wanatuvuruga sana, yaani wamehamia kwenye nyumba mwaka jana tu disemba hata mwaka hawajamaliza ila tayari mwanamke anataka hati ya nyumba na kiwanja majina yabadilishwe yaandikwe yake. So sad
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

    Rombo kuna sehemu panaitwa kasirwa aisee ni hatari kwa muonekano wa kibo yaani ukiwa hapo ni kama uko pale juu kileleni
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

    Hii picha umeipiga ukiwa sehemu gani mkuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania dental formula yako inavutia? Leo nimeambiwa nina dental formula nzuri

    Dental fomula maana yake una mkundu mzuri wa kuliwa
  12. T

    JamiiForums Tanzania Israeli iko bara gani?

    Wanasema ni lango la kuingilia ulaya ila yenyewa iko ulaya
  13. T

    JamiiForums Tanzania Israeli iko bara gani?

    Sawa mkuu maana nilikuwa nashangaa kidogo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Israeli iko bara gani?

    Hizo zipo Europe mkuu
  15. T

    JamiiForums Tanzania Israeli iko bara gani?

    Hii nchi mbona ni kama haieleweki enyewe. Israeli iko mashariki ya kati ambayo kiuhalisia ni bara la asia lakini vilabu vyake vinacheza uefa na hata timu yake ya taifa inacheza michuano ya ulaya . Kwani hii nchi iko bara gani hasa au mimi ndo sielewi
Back
Top Bottom