Recent content by Temmabu

  1. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanaweza kutumia muda wote kuwajibu Mkapa, Mwinyi na Makongoro

    Vyama vingi vimekuwepo tangu 1992, kumbe kuanzia 1991-> iliongoza CCM lkn CCM iliundwa 1977, na kipindi hicho wote walikuwa CCM, sasa miaka 50 imefika vipi? Basi hata huko uliko walikuwa miongoni. CCM imeleta maendeleo mpk vyama vya upinzani kuwepo na uhuru wa kuongea unavyotaka! Ningekuelewa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu

    Ukawa Mkubali, tatizo ubishi tu yaaaaan.......
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tuweke hoja sio matusi

    Kutokana na msisimko wa siasa uliopo nchini, watu wanatoleana matusi, si busara ukereketwa wetu kwenye siasa ndugu zangu tutoe hoja za msingi na sio kukashifiana.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Hivi kweli UKAWA ni kisiwa cha MAZIWA na ASALI kama Daudi au ni GORIATI? viongozi wa CHADEMA njaa zao zimeua kila k2 ndani. Tanzania upinzani bado.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Julius Kalanga, mkombozi wa kweli kwa wanamonduli

    Watanzania nani kawaroga? Ongeeni hoja za kujenga, msitake matusi na kukashifu wenzenu. Wewe kama unasera bc jipeleleze unamsukumo gani kwako binafsi katika maisha yako. Familia yako tu huwez kuisaidia iweje mtu kuongoza taifa hl, kuwen makn ushabik bila tafakuri ni sawa na mtu aliyeshika...
Back
Top Bottom