Habari kwenu,
Leo kidogo Nami ninataka kusema neno,neno lenyewe ni kuhusu kijana mmoja mwenyeji wa monduli anaekwenda kwa la Julius Kalanga. Julius Kalanga ni kijana mpole,anaependa kufikiri kabla ya kuzungumza,msikivu na mwenye elimu ya kutosha kabisa ya kumfanya awe kiongozi bora.
Pamoja na ukweli kwamba alitokea mtu wa pili kwenye kura za maoni ndani ya CHADEMA,lakini bado ninafikiri ndie mgombea bora wa chadema katika jimbo la monduli.
Hii ni kwasababu Kalanga alikuwa mwanaccm ambaye alikuwa katika nafasi nzuri sana ya kushinda kura za maoni kwa nafasi ya ubunge. Lakini kwa ujasiri na ushujaa wake aliamua kujiunga na chadema ili kuleta mabadiliko ya kweli kwa wanamonduli.
Kwa bahati mbaya sana wajumbe wa kamati tendaji wa chadema jumbo la monduli hawakuliona hili na wakamua kumchagua mtu mwengine(OK its about democracy). Lakini ninaimani kamati kuu ya chadema wataliona hili na watalipatia ufumbuzi muafaka kabisa.
JULIUS KALANGA MGOMBEA SAHIHI NA MAKINI CHADEMA JIMBO LA MONDULI.
AHSANTE.