Recent content by Tembuu

  1. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Aisee nilikuwa bado sijagundua kitu hiki, ndo maana nashangaa Internet kila wakati inakata kumbe napigwa halafu hadi sasa hivi bado hali ni ile ile sasa sijui tangazo la serikali limefikia wapi au ndo mambo ya zamani yanataka kurudi ya kwamba MTU MWENYE PESA ANAWEZA FANYA CHOCHOTE MAANA...
  2. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

    Bora kuendelea kuwa mdogo
  3. Tembuu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

    Mtaka cha uvunguni sharti ainame lakini waweza inama jitu likapita kwa nyuma
  4. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

    Tz Tz Tz Tz keep it up
  5. Tembuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Suleiman Kilemile afariki dunia

    Unafikiri hata kwenye maandamano wote ni waandamanaji?
  6. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

    It can be
  7. Tembuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Kuna mtu jamaa yangu alimpa kazi ya kuzibua mitaro ya maji machafu na aliifurahia sana kazi iyo. Siku nilipo mtembelea jamaa yangu nkashangaa kumkuta yule mtu pale akifanya iyo kazi, wakati uyu jamaa nilisha muona sehemu nyingi nyeti nyeti. Kumbe yule jamaa alikuwa kikazi kwelikweli...
  8. Tembuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Kuna mtu jamaa yangu alimpa kazi ya kuzibua mitaro ya maji machafu na aliifurahia sana kazi iyo. Siku nilipo mtembelea jamaa yangu nkashangaa kumkuta yule mtu pale akifanya iyo kazi, wakati uyu jamaa nilisha muona sehemu nyingi nyeti nyeti. Kumbe yule jamaa alikuwa kikazi kwelikweli.
  9. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Athari za kuweka picha za watoto wako mtandaoni

    Tujuzane madhara yake ni yepi?
  10. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Shule za bweni 90s na bata za madisco

    Daaah! Njoss boys vs Loleza girls!! Hatar sana
  11. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

    Aisee kibiti ndo usiseme watu wamekula kichapo hatari na kupandishwa kwenye kalantinga.
  12. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Mdude hana sifa za uongozi, hafai kuwa mwenyekiti wa Bavicha, abaki kuwa mwanaharakati tu

    Binadamu hubadilika kulingana na mazingira hivyo tusimjaji sana, Let's wait..!
  13. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Hivi uongo kwamba TISS hawastaafu kwanini unaaminiwa?

    the mans of power
  14. Tembuu

    JamiiForums Tanzania Lissu: Muungano wa Tanzania (Zanzibar na Tanganyika) ni propaganda za watawala Nyerere alitaka Serikali moja wakati Karume alitaka Tatu

    ni muhimu sana kufundisha historia sahihi mashuleni
Back
Top Bottom