Recent content by Tembo Mpweke

  1. T

    JamiiForums Tanzania Alexander mkuu alivyotabiriwa na Biblia kwa usahihi

    Kiongozi haya ni madini, nimepata kitu leo endelea kutupa historia zingine zinazothibitisha uhalali wa Biblia.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ijue siri inayolifanya Taifa la Marekani kuwa juu kimaarifa

    Nakubaliana na wewe kwa 100%.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Watu wengi wanaotokea Asia wanaamini sana katika ujasiriamali wanatumia ajira kama daraja la kufikia malengo ya kujiajiri. Hawaamini katika kuajiririwa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wachina wamezagaa Kariakoo ila mtu yupo kimya, watetea haki za kibinadamu wamekuja Tz mtu kafoka nusu kulia

    Ukiangalia kwa jicho la siku za baadae unagundua kuna ukoloni wa biashara unakwenda kutokea. Kama sasahivi wakinga wapo wengi kariakoo na wanazidi kuteka maeneo naamini kwa mwendo huu baada ya miaka 15, wachina nao watakuwa wametamalaki.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wachina wamezagaa Kariakoo ila mtu yupo kimya, watetea haki za kibinadamu wamekuja Tz mtu kafoka nusu kulia

    Idadi ya watu wanaosapoti wachina inazidi kuongezeka kwa sababu ya punguzo la bei.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

    Tatizo akili ndogo inatawala akili kubwa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kama haupo vizuri kiroho ni ngumu ku-run biashara kubwa

    Uko sahihi kabsa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

    Upendo husitiri maovu mengi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

    Hiyo ndio tafsiri ya kutoa ni moyo na sio utajiri.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

    Mleta mada uko sahihi kabsa kuna maeneo Dsm yanatoa tafsiri ya kiwango cha umasikini wa nchi yetu.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto kubwa ya Kiusalama kwa Urusi na hatma ya Usalama barani Ulaya

    Umeongea jambo la kweli
  12. T

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka atunukiwa Doctorate

    Kwa upande wangu naona anastahili
  13. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojificha nyuma; Kuvuja kwa video za faragha za Wasichana

    Kizazi kibaya na kisichoelewa mpaka tukio baya litokee ndio hurudisha ufahamu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi watu wanakufa mapema kuzidi miaka ya zamani

    Hii coment ni kubwa
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

    Upo sahihi kabsa
Back
Top Bottom