Recent content by Tembo Jeuri

  1. T

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Tano tena kwa Bi SSH, leo amenipa raha ya kisikiliza hotaba yake! Hii ndo Tanzania tuitakayo!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye Internet za Bure ( free wifi hotspots locations)

    Nunua laini ya Jeshi ya TTCL. Unapata muda wa maongezi na data za bwerere kwa buku jero.
  3. T

    JamiiForums Tanzania MSIMAMO WA RAIS JPM KUHUSU MIMBA MASHULENI ULIKUWA WA BUSARA

    Katika miaka michache ijayo, tutashuhudia wimbi la wasichana wanafunzi wenye umri kati ya miaka 9 hadi 19 wakibeba ujauzito na kujifungua! Kwa vile sasa hakutakuwa na uoga wa kupata mimba. Na wataweza kuwarubuni wenzao ambao watakuwa bado wanauoga, kujiingiza katika ngono mapema! Je wazazi...
Back
Top Bottom