Recent content by tembekezad

  1. tembekezad

    Mapafu Kujaa maji

    vipimo hivyo hospitali ya mkoa vinapatikana?
  2. tembekezad

    Siri ya Magufuli kuogopa kuigusa IPTL ambayo inalipwa milioni 400 kwa siku na TANESCO

    mtoa post we hujui maana ya mikataba? kasome sheria za mikataba alafu uje kutoa hoja yako pumba sawa?
  3. tembekezad

    Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    brother na wewe conment yako inamapungufu hujamuelewa jamaa alichokizungumza amesema kwamba yeye ni padri na hii ni siasa kama kweli alitaka kuyazungumzia hayo angeita waandishi akayazungumzia nyumbani kwake na sio kanisani maana kanisani ni mchanganyiko wa watu wa kada mbali mbali na watu hao...
  4. tembekezad

    Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    broo unafanya kazi gani au hauna kazi nini? huenda na wewe unasdubiri uletewe pesa mfukoni nn? mzee wa pool table
  5. tembekezad

    Mbowe: Sidaiwi na NHC, namiliki jengo kwa Asilimia 75 kuanzia mwaka 1997

    kafanya hivyo lini mbona vyombo vya habari havionyesh tukajua ni kweli
  6. tembekezad

    Waziri gani katika awamu hii ya tano anaweza kukumbukwa kwa utendaji wa uzalendo?

    labda huyo lisu ni waziri wa kuwaendeshe ukoo wenu kama baba ako mama ako na wengineo ila hapa inchini hatumfahamu
  7. tembekezad

    Lowassa matatani zaidi

    Hakuna taifa linalotaka taifa jingine liwe na nguvu Hakuna taifa linalotaka taifa jingine liwe na nguvu
  8. tembekezad

    Je, Mheshimiwa rais, kweli unamtanguliza Mungu mbele?

    sasa ni mtazamo wenu huo ila kwa sasa mnatakiwa kufikila kwanza
  9. tembekezad

    Kwa kupoteza majiji CCM sasa kujifia rasmi

    mtazamo wenu huo ila umecopy na kupest huenda hata copy ilionayo ikawa ni ya kimakosa ukaipest hivyohivyo bila kuirekebisha nqa watu wakaichukulia hivyohivyo basi mimi ushauri wangu ni kwamba hii inchi rais awaachie mafisad waendelee kuitafuna na sisi tuzid kuwa mbwa wao tukafungwe wananchi...
  10. tembekezad

    Rais Magufuli atunze umoja wetu alioanzisha Mwalimu Nyerere (Need to preserve our unity)

    kama mlivyosema tulidiskus hili kwa utulivu sasa naanza kwa maoni yangu kama yalivyo nilimsikia rais akiliongelea hilo ila kwangu ni tofauti na nyie kidogo rahisi hakusema mtu asitoke mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kusoma au kutembeleana au kufanya chochote kile kama kibiashara hakulizungumza...
  11. tembekezad

    Ukisoma maelezo haya ya Serikali unapata picha gani kuhusu swala hili la kuhamia Dodoma?

    ilo suala lilikuepo na alioanzisha ni hayati mw.julias k. nyerere ila sema halikuwekwa kipaumbele kwa maana viongozi wetu wote wa nyuma hawakuwa series kwa ilo na izo ela mbina simple ujiuliz tangia kiongozi wetu aingie madarakani ni mda gani kwa sasa mbona amefanya maendeleo yaliogharimu ma...
  12. tembekezad

    Siri ya Magufuli kuogopa kuigusa IPTL ambayo inalipwa milioni 400 kwa siku na TANESCO

    ilo suala kwa sasa liko jikoni magufuli analichambua ila wewe mtoa post unatudanganya kwa kusema kuwa tz inawalipa milioni 400 kwa siku huo ni uongo iyo ishu alishaizungumzia zitto kabwe ukiyaka kujua ni sh ngapi tz hulipa ingia kwenye website ya zito utaikuta hiyo na baada ya MJP kujua hilo...
  13. tembekezad

    Ni kwanini wanawake hawaigopi HIV?

    daa hii kali sana sisemi kitu ila nitasema kitu mda si mrefu nitapost jambo
Back
Top Bottom