Kila mkoa una vizuri vyake ktk mapenzi. Mbeya nao nilichanganyikiwa nikakataa kurudi Dar mapema.Binti alinichanganya acha kabisa Wanyakyusa nao hongereni kwa utaalamu kwa kitanda
Watoto wa kiume wanabakwa Tangu miaka na miaka,sijasikia jimama lililobaka limepelekwa kwa pilato.Wengine ni marafiki wa mama returned.anajidai Kuna mzigo wa mama yako twende Kwangu ukachukue,ukifika mlango unafungwa linasaula mbele yako linakuanzishia Michele ya mahaba.Kwa hofu itachukua muda...
Hakuna dawa ni kuamua ktk nafsi,zaidi ya hapo kunywa ulewe hujitambu ktk maeneo ambayo hawakujui halafu anguka kitakachokutokea utaweza kuacha pombe bila kulazimishwa na kiumbe chochote duniani
HAKUNA MWANAUME ASIYEWEZA KUFANYA HIVYO,Tatizo linakuja baada ya kufanya,WENGI WA AKINA DADA NDIO CHANZO CHA SISI KUSHINDWA KUWAFANYIA HIVYO,.HUANZA KUJIONA AMEKUTAWALA.SASA MADUME MENGINE HAYAPENDAGI KUONEKANA WAKO CHINI YA UTAWALA WA WADADA.TIRIRIKENI MNAOPINGA
Sio akijua,anajua mchezo wote,kashituliwa na jamaa yake kuwa mtoto sio wake,ila sijui anapanga nini,maana alionyeshwa siku moja kwenye msiba kuwa aliyezaa na mkeo yule pale,nilivyokuangalia niliona huruma kweli kweli ndugu yangu,kumbe umelileta humu,poleeee weee
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa na adabu,kuwa sio lazima ufike chuo kikuu ndio maisha yanyooke,kuna waliojaliwa njia za mkato lakini wakatoka na waliosoma maisha yakawagonga
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.