Recent content by telthetruth

  1. T

    JamiiForums Tanzania TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

    Pole sana kwa matatizo, nilipata tatizo na laini yangu ya 4G nikarudi pale ofisini kwao kumbe issue ilikua kwenye simu yangu sasahivi mambo ni poa, so ni bora ukarudi kwao kama uliweza kwenda hadi Samora sidhani kama utashindwa kurudi tena wakakusaidia
  2. T

    JamiiForums Tanzania TTCL inapambana na nani kwenye Soko? Halotel!!!!?

    we unapitaga barabara gani kuja mjini mbona wamejaa kila kona na mabango yao na vipeperushi wanagawa, hata kwenye gazeti niliona. 4G yao sio mchezo ni hatariiii
Back
Top Bottom