Recent content by telma

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

    Ni watu wawili tofauti aliyefariki ni mtu wa Pemba na aliyesema hayo maneno ni mtu wa bara wana familia wa marehemu wamelalamika kwa kuombewa dua mbaya mtu wao
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimeokota vyeti vya Samson Y. Mwambwiga

    Nategemea umeshamtaarifu na kama amevipata naomba utujulishe Sent from my SM-J510F using JamiiForums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimeokota vyeti vya Samson Y. Mwambwiga

    Nategemea umeshamtaarifu na kama amevipata naomba utujulishe Sent from my SM-J510F using JamiiForums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nimeokota vyeti vya Samson Y. Mwambwiga

    Habari, Kama nilivopokea (As received) Nimeokota vyeti vya *SAMSON Y MWAMBWIGA* 1. Result slip ya form four 2. Result slip form six 3. Cheti cha kuzaliwa 4. Cheti cha kifo cha mzazi Anitafute kwa namba 0763301018 au 0786914510 Tafadhali share kwa wengine hili tangazo liweze kumfikia mhusika...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mama amuua 'House Girl' kwa kipigo, amfungia chumbani

    Acha chuki binafsi mkuu. Mkami Shirima na uwarabu wapi na wapi! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania Matunda na mboga ni nzuri kiafya lakini ni hatari

    Vinegar ni Siki
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mwanafunzi afariki dunia akidaiwa kupigwa na mwalimu wake akituhumiwa kuiba pochi ya mwalimu

    Inaskitisha kwa kweli, dhulma aliyotendewa mtoto. Heshima yake imemponza kumkimbilia mwalimu kumpokea mizigo na imekuwa sababu ya umauti kwa kipigo! Mungu ni mwema sana kwetu ndie aliyempa imani mwenye boda boda arejeshe pochi ya mwalimu aliyoisahau. Hii ni uthibitisho wa utetezi wake Mungu juu...
Back
Top Bottom