Recent content by telegram

  1. T

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kufikishwa Mahakamani Februari 3, 2022 katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

    ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam, tarehe 3 Februari 2022, kujibu mashitaka ya jinai yanayomkabili.l Taarifa kutoka Mahakama hapo na ambazo zimethibitishwa na...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Kawaida sana wachaga hawashobokei madaraka ya kisiasa. Ila ukiangalia ktk ajira ukienda kwenye ratio in terms of population ktk makabila na idadi ya walioajiriwa bado wachaga wanaongoza
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Kuna faida gani mkoa wa kilmanjaro kuwa na viongozi wa kisiasa. Jitafakurishe na ufanye utafiti wa mikoa ambayo imepata viongozi wengi then oanisha na maendeleo waliyonayo ukilinganisha na kilimanjaro ambayo haina viongozi then rudi hapa utuwekee data kiulinganisho. Kwa taarifa tu, only...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Jenga yako. Kwani ulimsaidia kuijenga hyo nyumba
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Mbona ndugai hakuwa na maadili, alimtandika mgombea mwezake bakora
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Paskali huu mpango wa Mungu alianza kuuonesha tangu jpm alipofariki. Sasa nchi imekua na furaha tele, na sasa bado Makonda sherehe zitatamalaki kila kona
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

    Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha. Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
  8. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

    Tunajua sana kwan nani alikuambia hatujui
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

    Chondechonde yule hafai bora hata ndugai. Ana mfumo jike hyuoooo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Watu wa pwani hawana roho mbaya kama wasukuma
  11. T

    JamiiForums Tanzania Haikuwa sahihi kwa Rais kutaja hadharani sababu ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri

    Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tumepoteza almasi muhimu, Ndugu Lukuvi

    Yani mama kadanganywa na katanga. Atalinywa mda sii mrefu
Back
Top Bottom