Recent content by teku

  1. teku

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pamoja sana kaka uko njema kwel kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  2. teku

    Nauza kiwanja Chamwino Ikulu

    Habari wadau. Nauza kiwanja Chamwino ikulu cha makazi na biashara mita za mraba 535 kina hati. Kipo karibu na jengo la mkuu wa wilaya. Bei milioni sita na nusu. 0685763018 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. teku

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Timu za brazil sina uzoefu nazo. Nashindwa kudeposit hela ili mkeka utoke. Inasema not enough money
  4. teku

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aisee mi nina kaelfu tano hapa nataka nitupie na meridian bet. Nashindwa kudeposit hela niweze kubet. Naombeni msaada wenu. Pia na possible games za kuweka zilizobakia sasa hivi
  5. teku

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Add me please 0620 412243
  6. teku

    Miti ya Milonge

    Habari za jioni, Nilikuwa naomba kwa mtu anaefahamu lolote kuhusu upandaji wa hii miti na ukuzaji wake kibiashara. Au kama kuna thread yoyote ambayo ilishawahi kujadiliwa kuhusu hii miti naomba mnitumie. Nimeshindwa kuisearch. Nitashurkuru sana nikipata hii elimu.
  7. teku

    Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Mkuu nimevutiwa na uzi wako. Nami nipo kwenye hz harakt bado nakusanya nguvu. Hivi ufuta kwa heka unaweza vuna gunia ngap kwa wastani?nipo dodoma je maeneo gani ufuta unakubali?na mahitaji yake ya hali ya hewa yapoje na gharama zake kwa heka ni kiasi gani??
  8. teku

    Mtaji wa 2m Dodoma

    Mkuu nipe tu huo mchanganuo unaweza kuwa msaada pia. Nitonye tuu mkuu
  9. teku

    Mtaji wa 2m Dodoma

    Mkuu ahsante kwa ushauri ntaufanyia utafiti. Hapo sasa itabidi niangalie sasa na njia za kuhifadhi hizo nafaka.
  10. teku

    Mtaji wa 2m Dodoma

    Habarini za mchana wadau. Nimepitia mawazo yenu endelevu nazidi kuyafanyia kazi. Hili la ubuyu ntalifanyia utafiti halafu ntakuja na marejesho. Ahsanten sana kwa mawazo kweli JF ni home of great thinkers. Mbarikiwe sana.
  11. teku

    Mtaji wa 2m Dodoma

    Kwa mdau yoyote mwenye wazo lolote mawazo yenu bado yanahitajika. Mbarikiwe sana.
  12. teku

    Mtaji wa 2m Dodoma

    Thnx kaka kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi
  13. teku

    Mtaji wa 2m Dodoma

    Habarini wadau wa JF. Heri ya mwakavmpya 2014. Mimi ni mfanyakazi wa serikali ndi nimehamia dodoma. Je kwa mtaji wa 2m naweza kuanzisha biashara gani hapa mjini dodoma? Mawazo yenu ya muhimu sana wadau.
Back
Top Bottom