"Maana yake nini? Kila laini ya umeme unayoiona mtaani, na duniani kote, ina mawimbi yake yasiyofanana na laini yoyote duniani. Jinsi umeme unavyopita kwenye nyaya na kuingia majumbani, unajijengea tabia ya kipekee ya mawimbi (frequencies) ambayo haifananii kabisa na laini nyingine yoyote...
Dini ni mtego ndio maana ni rahisi kumuona papa akifanya ubaguzi wa rangi hadharani na hutasikia mtu akilalamika kuhusu hilo. Hamna tajiri alietajitikia kanisani ila kanisa ndio linahitaji matajiri
Habari wadau,
Uzi wa leo tunashona sekta ya afya hapa nchini malawi.
Wengi mnatambua kuwa kuna mfumo huu wa taasisi za afya za malawi.
Ambapo unapofika hospital inaenda kwa mlolongo ufuatao;
1. Unasajiliwa ambapo baadhi ya hospitali za serikali ya malawi hukichaji mpaka zaidi ya 10,000
2...
Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify mileage kaa nazo mbali
Hili litakuwa wazo la kijinga, ni sawa na mtu anaemiliki baiskeli unamshauri jinsi ya ku service LC300. Tanzania haina miundombinu ya kufanikiaha hilo wazo lako.
Mfano Tanzania ukila Jackpot ya sportpesa ile 1B, unalipa kodi 180m maximum. Unabaki na 820m, Huko nje ukila 1B, unaweza kulipa kodi...
Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari.
Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu Japan, nikataka gari wakaninunulia kwa mtu na sio zile za mnada wala Za dealership. Hii gari lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.