Recent content by tekiendwa jarmas

  1. T

    JamiiForums Tanzania Star tv: Wakati wa kiyama baada ya shetani kutupwa motoni watafuatia Wanasiasa!

    mada mbona zimekuwa mbili tofauti ?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    mhhh sasa ndo huko mbinguni atapata zaidi ?kweli siku ya kufa haina dawa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

    asilimia zote.asante history imetulia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Barua ya Evarist Chahali kwa viongozi na wafuasi wa upinzani (Hususani CHADEMA)

    MHH PASAKA ITAKUWA NZURI.HILI NI GAZETI NITALISOMA SIKU YA PASAKA.ASANTE MLETA MADA.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Askari sita waliokamatwa kwa kumuua Akwilina Akwilini wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani?

    siku zinasonga mbele bado hawajajulikana wauwaji.inasikitisha
  6. T

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    UMESEMA KWELI HAUNA TOFAUTI NIMEUSOMA VIZURI SANA.HAKIKA UMEONA MBALI.WENGINE HAPA WANAONA UKWELI BALI WANAJIFANYA VIPOFU HAWAONI.WARAKA WA KKT NA ROMA NI SAWA.
  7. T

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Abdul Nondo ahamishiwa Iringa kimyakimya, afikishwa Mahakama ya Wilaya. Anyimwa dhamana...

    MUNGU ULIYEPO JUU UNASHUHUDIA YOTE HAYA. SISI NI DHAIFU MAMBO YA GHAIBU HATUYAJUI.KAMA NONDO AMEJITEKA AU KATEKWA UNAJUA WEWE.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

    Jamani huu uzi wa lini mbona alifariki siku nyingi sana miezi imepita mingi sana.
  9. T

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Wawili washikiliwa kutokana na kifo cha Mwanafunzi

    MHH NGOJA NIENDE SOKONI NIKIRUDI NITAJUA KUWA HUKO IRINGA KUNA ZIMWI GANI LA NONDO HALIJAISHA KUNAKUJA HILI.POLENI WANA IRINGA.R.I.P
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi aliyeripotiwa kupotea, Abdul Nondo apatikana Mafinga mkoani Iringa

    SINA LA KUSEMA LABDA KESHO TUTAJUA YANAYOJIRI HUKO IRINGA
Back
Top Bottom