Hardman!!!! Haja edit kitu chochote, tafuta gazeti tajwa usome, au nenda first page ya bandiko. Tatizo ni kukurupuka kujibu kishabiki, si jambo jema. Majirani zetu eg kenyans wanatudharau sana kwa issue ndogo tu kama hii, lakini pia si lazima sana kuchangia kama mada hujaielewa. In dew respect
Ripota ameandika vizuri kama ulivyoshauri, tatizo ni lako hujasoma kwa kutulia. ameandika hivyo viwango ni kwa mita moja ya mraba!!!!!! Kitu gani huelewi hapo.
Kazi kweli kweli
Muwe mnasoma kwa vituo na ku comment baada ya kumuelewa mtoa mada.
Dola 20 mpaka 25 ni kwa squire meter moja kwa mwezi, sasa piga hesabu chumba kimoja kina squire meter ngapi then uzidishe utapata dola ngapi then zidisha mara miezi sita.
Nakutakia siku njema
Uandishi wa Pasco ni wa staili ambayo unamtaka msomaji asikurupuke kusoma na kutafsiri directily alichokiandika. Msome kwa umakini utagundua yupo upande gani. Ukishindwa kumuelewa mara ya pili, nijulishe tujadili pamoja nini maana ya alichokiandika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.