Uko sahihi mkuu.
Serikali iwe moja, majimbo yaongozwe na governors then mayors wawe wakuu wa wilaya. Hii itapunguza rahisi kua na mamlaka makubwa sana
Majimbo hayo yaweza kufanya maamuzi na kua na uhuru kiasi kikubwa bila kutegemea serikali kuu
Tunaweza pata majimbo 10 yakaweza kujitegemea...
Habari wakuu
Hizi hoja makini katika video hapo chini, zimenipa moyo wa kuendela kubaki Tanzania. Tupate wananchi wengi namna hii katika kuishauri serikali
Muongeaji anaonekana kutoa maoni hayo katika kipindi cha TBC. Watanzania wenye maono na hekima wapo wengi, wasikilizwe.
Muda si muda...
Natumai baada ya hiyo miaka 15/20, watanzania tutakua tumepata akili ya kuendesha huo mradi
Napendekeza wawekezaji wengine waje kuchukua
1. SGR mapema sana kabla mambo hayajakwenda mrama
2. KIA (huu uwanja ni pesa nje nje kabisa. Waweke na airport city kuongeza utalii pale )
3. City & Urban...
Shida kubwa hapa ni mfumo mzima wa maisha ya watanzania wengi ukifatiwa na mfumo wa elimu
Wengi hatuna uwezo mkubwa wa kufikiria na kupembua mambo. Hatuna ambitions wala goals za mtu kutaka kufika mbali. Watanzania wengi hatuwezi ku apply critical thinking kwenye mambo na hatuko aggressive...
Nimekuuliza ziko wapi kwa sababu empires za whites zipo hadi leo
Hivyo basi wewe ulienda shule, empire ya Mali imekufaje ?
Burkina Faso wanajaribu na wameanza juzi, nipe mfano wa waliofanikiwa
Sawa mkuu. Shule sijaenda ila Shule sio kigezo cha kujua na kupembua mambo.
Unatafuta tu hoja rahisi ya kujifariji na watu wa kale. Nipe mfano wa sasa wa jamii nyeusi iliyoweza kujitawala na kuendesha mambo yao
Hakuna kulishwa mkuu. Binadamu ameumbwa ajifunze na kutawala.
Kama ubora wao tumeona ni mzuri, kwa nini hadi leo tumeshindwa kuufikia ?
Kuna ubaya gani tukiwa na technologia ya kutengeneza barabara kufikisha huduma kwa haraka katika jamii zetu ?
Kuna ubaya gani tukiishi kwenye sehemu...
Ziko wapi ? Na kwa nini zilikufa ?
Je huoni asilimia kubwa ya vitu vinavyoendeshwa na watu weusi vinakufa ?
Hatuna watu wanotumia akili zao vizuri. Wajinga ni wengi sana
Mkuu, acha kutafuta sababu za umasikini wetu kwenye imani. Kabla ya dini mpya, mababu zetu walikuwa wameendelea ?
Unatakiwa kuelewa wazungu wamefikaje hapo walipo;
Wazungu tokea zamani, walikua katika sehemu zenye changamoto nyingi sana, asimilia kubwa ya watu weak hawakuweza kutoboa ila wale...
Mkuu, Machiavelli alielezea hii "Why the most stupid people ends in power" hapa https://youtu.be/Ix4nKNDKhTQ?feature=shared
Kama nchi, tunahitaji kuwatoa hawa watu kwenye system. Case study ya modern times walioweza ni Singapore
Inaweza kufika mahali, wananchi wakaamua kutumia hii njia. Nchi inaongozwa na watu wasio tumia akili kabisa na wanatesa wanaochapa kazi
Ukijulikana ni fisadi, hufanyi kazi yako vizuri au CHAWA unakula shaba tu
:D:D:D
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.