CPC Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi 2012 ni mchapa kazi mzuri sana na siku zote kwenye utendaji wake ni mwenye kusimamia sheria, kanuni na taratibu. Ushahidi ni mafanikio ya sensa ya watu na makazi 2012.
Akili ya kawaida inashindwa kuelewa kwamba watu walioletwa kwa malori (bila ya shaka ni kutoka maeneo ya mbali) iweje baada ya "fiesta" watoke nduki kwa speed ya jet, je waliondoka na kuacha usafiri wao uliowaleta? Lakini pia hakuna ajabu na wala siyo jambo jipya watu kusafirishwa na kupelekwa...
Binafsi nashindwa kuamini ni kweli Chadema waliokuwa makamanda na wapiganaji wa mstari wa mbele wa ufisadi na kupelekea mmoja wa mafisadi hao kulazimika kuachia madaraka ya Uwaziri Mkuu leo wamegeuka na kulamba matapishi yao tena kwa mazingira ambayo hayaeleweki kabisa katika ya kawaida? Ama...
Inashangaza sana kama huoni mazingira ya Lowasa kupata uteuzi ndani ya Chadema/Ukawa kuwa ni ya hatari zaidi kuliko haya kinayotuhumiwa CCM kutumia magari ya umma (kama ni kweli) kwenye kampeni za mgombea wake. Gharama hizi ambazo Lowasa ametumia kuteuliwa na kufanya kampeni chini ya...
Ni ukweli usiopingika kuwa Slaa alikuwa na mchango mkubwa uliokifikisha Chadema mahala kilipo leo. Vita dhidi ya ufisadi aliyoianzisha na kuisimaamia ndiyo iliyomvua Uwaziri Mkuu Lowasa kukifanya chama chake cha Chadema kupendwa na watanzania wengi. Leo kuyabeza haya ni kuficha ukweli na...
Nadhani kuna kitu muhimu sana cha ziada pamoja na kipimo unachofikiria cha idadi ya watu kuupata uraisi, nacho ni idadi hiyo ya watu kwa maeneo yote au mengi ya JMT. Kupima kwa kigezo cha maeneo machache sana tena mijini pekee ni kujidanganya kutakakoleta kilio oct 2015. Nguvu iongezwe zaidi kwa...
Pole sana mkuu, ni wazi maoni yako yanaonyesha mapenzi kwa huyo mgombea uliyemtaja na si maoni ya wana Kiteto kama unavyojaribu kuuaminisha umma. Kumbuka matokeo ya kura za maoni yametoa picha ya mpasuko mkubwa wa jamii ya Kiteto kwa wagombea wawili walioongoza, kwa kila mmoja kuungwa mkono na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.