Recent content by Tectoner

  1. T

    Msaada wa kuchakachua HUAWEI ETS2288 IMEI: 2151060527W0720

    Asante kwa atakaye nisaidia
  2. T

    Nisaidieni kuchakachua wireless yaHUAWEI ttcl na namna yakuzingiza CODE ilizichakachue

    Ni simu kama ya mezani IMEI: 2151060527W0720
  3. T

    [request] adobe photoshop cs3 or cs2

    unapatikana wp bro cz hata me naisaka sana mishe hiyo
  4. T

    Menu bar ya pc hairespond

    Ile bar inayokuwa chini ya display inagoma kufunguka. So nikiminimize file nashindwa kulifungua tena.msaada jamani
  5. T

    Msaada tafadhari PXE-E61 erroe

    Yangu ni desktop kitu kimetiki
  6. T

    Msaada tafadhari PXE-E61 erroe

    Computer inazingua inaleta sms hii "PXE-E61 media test failare check cable" hata nikitaka kuboot cd ya window inashindikana....nimecheki cable zote lakini sijafanikiwa jaman I.Ts naomba msada wenu
  7. T

    Msaada wa haraka

    nashukuru kaka kitu kimetiki!
  8. T

    Msaada wa haraka

    poa kaka
  9. T

    Msaada wa haraka

    Computer yangu ninapoitumia inaleta kijidirisha chenye ujumbe "there is no disk in the drive. Please insert a disk into drive" nisaidieni jaman
  10. T

    Ni sahihi kuonesha silaha za vita ambazo hatujatengeneza sisi?

    wajidanganya kaka siri ya chumbani hawajaiweka hadhalani
  11. T

    Ni sahihi kuonesha silaha za vita ambazo hatujatengeneza sisi?

    hata hivyo siza kama tumelala kiivyo...zana kama B52 zipo ila. Ni mwiko kuuzia sura kwenye demo kama hii.
  12. T

    Ni sahihi kuonesha silaha za vita ambazo hatujatengeneza sisi?

    japo sina ukakika hizi ni baadhi tu ya dhana...dhana kali yawezekana zimefichwa...cz ili ni jeshi linaelimu full juu ya maadui...so hiyo ni 0.00001 ya mbinu na dhana za kivita ie. DEMO
  13. T

    Ni sahihi kuonesha silaha za vita ambazo hatujatengeneza sisi?

    Wana zana za hatari za kivita al-shabub wakijikok wanalo du!
Back
Top Bottom