Recent content by Teckla Anne

  1. T

    Naombeni ushauri wa kunijenga

    Asanteni wana jf kwa ushauri nimewasoma wote na nimekua very makini. Nawatakieni heri ya x mass na mwaka mpya.
  2. T

    Naombeni ushauri wa kunijenga

    Jamani wana jamii forum kuna watu humu wanapenda jokes sana. Watu tupo serious then anatokea mtu anaku pm then mnaendelea na chat mnapeana contact alafu haraka anaenda tumia namba yako ili ajue jina lako halisi. sasa hiyo ndo maana halisi ya forum? kuweni wastaarabu.
  3. T

    Natafuta mume

    Mkada. Mume wa mtu hapana.
  4. T

    Natafuta mume

    Tamatheo asante kea ushauri wako. Nitaufanyia kazi
  5. T

    Natafuta mume

    Mandingo picha sio kila mahali waweka tukipeana contact na kuwasiliana ndo tutapeana picha. Na ukiridhika ndo tutaendelea na mawasiliana.
  6. T

    Natafuta mume

    Una umri gani@mjuni lwambo?
  7. T

    Natafuta mume

    Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.
Back
Top Bottom