Recent content by TechTino

  1. TechTino

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa hekari 5 lipo Kerege Bagamoyo 5km kutoka barabara Dar – Bagamoyo lina miti ya mitiki

    Kerege y Nyakahamba unaingilia kerege ccm, bei ya shamaba ni 18 milion kwa hekari na zinauzwa zote kwa pamoja
  2. TechTino

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa hekari 5 lipo Kerege Bagamoyo 5km kutoka barabara Dar – Bagamoyo lina miti ya mitiki

    LINA MITI YA MITIKI
  3. TechTino

    JamiiForums Tanzania Aibu yako umasikini wako

    Ahahahaa utapata utakachopata huwezi kosa kabisa
  4. TechTino

    JamiiForums Tanzania Aibu yako umasikini wako

    Asante sana
  5. TechTino

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo mkakati na kujikomboa kupitia kilimo

    Sijaweka conclusion nimeona maneno yamezidi na siwezi kuyapunguza ila nilichofanya points mbili za mwisho zime conclude!!
  6. TechTino

    JamiiForums Tanzania Aibu yako umasikini wako

    AIBU YAKO UMASKINI WAKO Aibu na Umaskini, Vijana wengi tumekumbwa na changamoto ya aibu na kutupa wakati mgumu tutaanzaje kukabiliana na maisha hasa kwa wale walio jaliwa kupata elimu na kuhitimu katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi , msongo wa mawazo umewakumba wengi hasa pale...
  7. TechTino

    JamiiForums Tanzania SoC01 Aibu yako umaskini wako

    AIBU YAKO UMASKINI WAKO Aibu na Umaskini, Vijana wengi tumekumbwa na changamoto ya aibu na kutupa wakati mgumu tutaanzaje kukabiliana na maisha hasa kwa wale walio jaliwa kupata elimu na kuhitimu katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi , msongo wa mawazo umewakumba wengi hasa pale...
  8. TechTino

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kipato duni na Ugonjwa wa UVIKO - 19 (COVID-19)

    UMASKINI NA UVIKO-19 (COVID -19) Athari za janga hili kwa umaskini hutegemea kwa sababu kadhaa. Kuongeza usawa na kupungua zaidi kwa ukuaji wa uchumi inaweza kusukuma watu zaidi katika umaskini. Janga hili pia linatoa changamoto kwa serikali , uwezo wa kifedha ambao ulikuwa tayari...
  9. TechTino

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo mkakati na kujikomboa kupitia kilimo

    KILIMO - BIASHARA Sekta ya kilimo ni sekta inayotegemewa sana katika kukuza uchumi na kuendeleza maisha ya watanzania walio wengi. Hata hivyo sekta hii imeendelea kutawaliwa na wakulima wadogo wadogo ambao ni takribani asilimia 70 ya watanzania wote. Kwa upande mwingine kilimo kinachangia kati...
  10. TechTino

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    duu haya mahesabu nimeyaelewa see ila naona kiwanja hujaweka ila bado upo kwenye 15 million[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  11. TechTino

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa, kipo Tegeta A

    Kiwanja kinauzwa tegeta a kipo karibu na barabara, umeme [emoji736] Maji [emoji736] Makazi [emoji736] sqm 1500 kwa mil 24
  12. TechTino

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji kupitia boom la chuo

    ya kujibana ila kuna wakati niliwakopa wenzangu then nikachukua bodaboda mambo yakaenda poa nikawalipa ndani ya muda so niliendelea kutoka hapo
  13. TechTino

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji kupitia boom la chuo

    Good idea if you can kwasababu tupo tuliofanya hivyo na ikawezekana ila kama unakaa home ndo rahisi zaidi
Back
Top Bottom