Recent content by Techguy

  1. Techguy

    MASTER IN INFORMATION SECURITY

    Ni chuo, kipo Upanga Dar es Salaam.... Pia UCC wanafundisha
  2. Techguy

    MASTER IN INFORMATION SECURITY

    Information security iko kwenye soko sana, lakini kwa ushauri wangu aachane na swala la kwenda kusoma Masters ya hiyo kitu kama anahitaji ushindani wa soko la ajira. Afanye Professional Certification za Computer security kama CEH, CompTIA Security+, CISA, ISACA.
  3. Techguy

    Ofisin za utumishi dsm

    Utumishi ofisi zao kwa hapa Dar zinapatikana Posta, barabara ya kuelekea kivukoni.
  4. Techguy

    Master of Science in Computer Science UDSM

    https://cse.udsm.ac.tz/programs/program-details/msc-in-computer-science-%28msc-cs%29 Kindly pitia hiyo link 🔗
  5. Techguy

    Master of Science in Computer Science UDSM

    https://cse.udsm.ac.tz/programs/program-details/msc-in-computer-science-%28msc-cs%29 Pitia hiyo link utapata information zote kuhusu hiyo program, requirements na tuition fee
  6. Techguy

    Master of Science in Computer Science UDSM

    Uwe umemaliza Degree ya computer science au course inayoendana na hiyo. G.P.A isiyopungua 2.7/5
  7. Techguy

    Master of Science in Computer Science UDSM

    Mimi nilisoma college ya CoICT, hawatoi hiyo course ya IT with education . Ushauri wangu ungesearch undergraduate programs zinazotolewa college ya DUCE.
  8. Techguy

    Masters application udsm

    Hii ni admission guide document kwa udsm
  9. Techguy

    Masters application udsm

    Nimekutumia mkuu
  10. Techguy

    Masters application udsm

    Ni kweli inawezekana kusoma master's program tofauti na degree yako ya kwanza lakini inabidi iwe related field.
  11. Techguy

    Masters application udsm

    Ndio mkuu bado liko wazi.
  12. Techguy

    Masters application udsm

    Nimekupatia namba inbox naomba nicheki nikuelekeze
  13. Techguy

    Certificate ICT nimpeleke wapi?

    Mpele UDOM , haina haja ya kuumiza kichwa sababu zingine.
Back
Top Bottom