Shiiiiiiiiiiiiiiiii! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiii! kimya kimya! Tulia usigeuke mbele wala nyuma!
Tuache! Endelea kufuatilia mchezo! Hadi sasa Magu anatafuta mpira kwa tochi!
Hii ni champions league! Magu hawezi ligi kubwa hizi!
HAPA NI KIJIWENI KWA MAKAMANDA, HAKUNA WRITTEN ETHICS!
Yap makamanda are always very brave and smart in the game! Politics zimekwisha jana. Of coz tumepambana kipolitiki but maisha yetu individually na socially yanamata zaidi ya maamuzi ya NEC.
Makamanda njooni tumtadhimini huyu mzee kama...
Wakuu!
Isisahaulike kuwa kila kituo cha kupigia kura kinabandika matokeo yake ya udiwani, uwakilishi, ubunge, na urais. Dhamira ya kubandika ni kwa ajili ya uwazi na uhuru kwa wapiga kura. Mgombea ama hata mpiga kura anaweza kurekodi matokeo ya kila kituo na kujumlisha kisha kubaini mshindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.