Recent content by Team Tanzania

  1. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Jeshi la Polisi wilaya ya Ngorongoro ladaiwa kuvuruga kikao cha CHADEMA

    POLISI WILAYA YA NGORONGORO WAVURUGA KIKAO CHA (CHADEMA) Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezuiliwa kufanya kikao chao cha ndani ambacho kilikua kifanyike leo Machi 10, 2018 katika kata ya Misigiyo Wilaya ya Ngorongoro. Awali ya yote Diwani wa Kata ya Misigiyo Mhe.Daniel Lormunyei...
  2. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Maharamia walitaka kutoa roho yake
  3. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Hawa wanaouwa sio Watanzania, ndio maana miili inapookotwa wananchi hawashtuki

    Kweli Zero brain. Hii ndo sababu tunataka utoke, majibu marahisi kwenye uhai wa watu. Fanyeni autopsy na toeni picha za marehemu msituambie sio watanzania wakati watu kibao wanapotea/wanatekwa na wasiojulikana.
  4. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

    huyu ana wivu wa kike na mwanamke mwenzako mjinga sana
  5. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Ndo wamezidi kumpandisha chati Sugu kuna wanajiona hao ni Mungu hawajui kuna siku na wao wataenda kuhukumiwa
  6. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwendelezo wa Kununua Watumwa: Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya Kuhamia CCM

    wabunge wasichana wataondoka chadema wote
  7. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Lissu abanwa tafsiri ya “dikteta uchwara”

    dikteta uchwara ambaye badala ya kushinda kwa hoja anatumia risasi kuwapiga wapinzani wake ana laana
  8. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

    Watesi hawakujua siku wanaandaa mpango wa kumuua Lisu Mungu alikuwa macho
  9. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania TCRA yavipiga faini Vituo vya runinga ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi

    Dikteta uchwara anatamani vyombo vya wasiandike habari za upinzani huu ujinga
  10. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

    wote waliohusika watakufa
  11. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Lissu abanwa tafsiri ya “dikteta uchwara”

    alikuwa amaanisha huyu ambaye hashauriki
  12. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Lissu abanwa tafsiri ya “dikteta uchwara”

    dikteta uchwara
  13. Team Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tumepata neema ya kumtembelea Tundu Lissu hapa Nairobi

    Mnataka kwenda kumpiga risasi kama mlivyofanya kwa Lissu
Back
Top Bottom