Recent content by teacher x

  1. teacher x

    JamiiForums Tanzania Msaada msaada Tafadhali

  2. teacher x

    JamiiForums Tanzania Msaada msaada Tafadhali

    Sawa
  3. teacher x

    JamiiForums Tanzania Msaada msaada Tafadhali

    Naombeni kuelimishwa juu ya matumizi ya hizi oil,Maana kiukweli bado sijaelewa tukiwa humu wengi wanasema tutumie 5w30.Mtaani kwenye jamii zetu wanatumia 20w50 ukweli ni upi?na je mfano gari yenye km 197000 na yenye km 68656 natumia oil hiyo hiyo au inakuwaje?
  4. teacher x

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi namna ya kuweka (fuel consumption per kilometer) kwenye gari

    Nashukuru Kwa majibu brother yaani watu wamenishambulia cjui mafuta cjui tafuta Hela cjui Nini bila hata kujua uhalisia ukoje duh jamii forum ya siku hizi ni hovyo sana tofauti na mwanzo
  5. teacher x

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia, ukweli wa aliyosema Mpina haubatilishwi kwa kumkasirikia kwamba amekiuka kanuni za Bunge na kudai hakuheshimu!

    Whatever but Mpina baada ya kupigwa chini uwaziri amekuwa akitafuta huruma tu kwa wananchi Hana jipya ni njaa na hasira za kutokuwa waziri
  6. teacher x

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi namna ya kuweka (fuel consumption per kilometer) kwenye gari

    Habari za muda huu! naomba kujuzwa namma ya kuiset dashboard iniandikie kiasi Cha mafuta kinachotumika,gari ni MARK X Ya mwaka 2007. Samahani Kwa uandishi wangu mbovu.
  7. teacher x

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Miongozo ndo hiyo kutoa zaka kamili kwahiyo hao unaosema wanatoa na hawapati yawezekana hawatoi zaka kamili
  8. teacher x

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Hii yaweza kuwa ni post Bora zaidi kuwahi kutokea hapa jamii forum kutoka Kwa GENTAMICINE
  9. teacher x

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji Soya tuwasiliane

    2000 kwa kilo
  10. teacher x

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji Soya tuwasiliane

    Habari za wakati huu kwa anayehitaji Soya anaweza kunitafuta ili tufanye biashara karibuni sana
  11. teacher x

    JamiiForums Tanzania Ushauri namna nzuri ya kutumia RPM Kwenye gari

    Kwa speed ipi ya gari?
  12. teacher x

    JamiiForums Tanzania Ushauri namna nzuri ya kutumia RPM Kwenye gari

    Habari zenu Mara nyingi nimekuwa nikipitia comment za watu humu suala la Rpm limekuwa likiongelewa sana Naomba kujuzwa kwamba ili gari itumie mafuta vizuri Rpm inabidi iweje na je Kuna uhusiano gani Kati ya mwendo kasi na rpm kuwa juu au kuwa chini msaada tafadhali
  13. teacher x

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Nyuma ya hili Sakata la Bandari Kuna mengi sana ya kujifunza na kuyatazama ukiangalia tu licha ya huo unaosemwa kuwa ni mkataba kuwa na changamoto nyingi lakini pia imekuwa Kama EXIT DOOR ya mambo ya kisiasa kumbuka kabla ya yote hayo hakukuwa na mikutano Wala Uhuru huo wa watu kujieleza kwahiyo...
Back
Top Bottom