Gereza kwa mwanasiasa ni starehe kwake wala sio mateso, enyi watawala tunaomba mlifahamu hilo, ni kumpa kiki za bure!
Wazee wa nchi mko wapi? wasaidieni watawala hawa kuendesha nchi!
Bado tuna lawama kibao toka kwa watu wa dunia ya kwanza, leo tulitakiwa tuzipunguze kinyume chake tunaziongeza...
Kwa ufupi ni kwamba Rose Mhando hajawahi kuokoka, alichojaaliwa na Mungu ni kile kipaji chake cha uimbaji.
Kutokana na kukua kwa jina lake huku akiwa hana msingi wala mafundisho ya Wokovu, kupotea zaidi ilikua ni jambo lisilokwepeka.
Ilisemekana tokea kitambo kwamba ni teja!
Ni kweli ana...
Wanafunzi wanachapwa pale wanapokosea, hilo lipo wazi! Mwalimu wa zamu ana majukumu mazito mojawapo ni kuhakikisha nidhamu inapokuwepo muda wote wa zamu yake, atawezaje kutunza nidhamu bila kitendea kazi?
Sisi ni waafrika, tuna utamaduni wetu kama waafrika, kiboko ndio stahiki ya mtoto...
Tunatumia nguvu kubwa kupambana na mambo ambayo hatuna uwezo nayo!
Ushoga ni tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiri na hatuwezi kulitatua kwa kupiga kelele majukwaani!
Ukisoma Biblia utaona jinsi wale wanaharamu wa Sodoma na Gomora walivyotaka kuwatenda wale wajumbe wa Mungu waliotumwa kwa...
Nchi hii kweli imerogwa!
Watu wanapoteza muda kujadili maisha ya watu!
Haya, baada ya majadiliano hayo ya muda mrefu kisha tukawajua hawa ni mashoga kiukweli, then what next? Tutakua tumeingiza faida kiasi gani kwenye akaunti yetu ya taifa?
Eeh Mungu lisaidie taifa lako!
Hawa wahamiaji wataleta mgogoro mkubwa sana ndani ya CCM mwaka 2020.
Nchi hii inapita katika kipindi kigumu sana, hali ni mbaya kotekote, Upinzani hata ndani ya CCM hasa ile ya asili.
Sisi ni watazamaji ngoja tuendelee kutazama.
sawa.... kila la heri huko uendako ingawaje bado sijaona bright future.
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja, niliwahi kumsikia huyu akikanusha tuhuma za yeye kutaka kuhamia upande wa pili leo yamekua kweli! Maana yake ni nini? Je kila anaetuhumiwa yupo njiani? Labda ni suala la muda tu ngoja...
Je kuna kipengele chochote cha kisheria kinachomlazimisha mheshimiwa mtukufu rais kuwepo kwenye shughuli hizo?
au ni mazoea ndiyo yanayotupelekea kumlaumu? Kama hakuna kipengelele hicho basi tumuache maana naye pia ni binadamu ana utaratibu wake wa maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.