Recent content by TCSPM

  1. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Hali ya foleni bandarini inatisha

    Upo sahihi mkuu kuna kampuni X ina makasha 80+yanaingia storage saa6 usiku zimepelekwa gari hazipqkii na zilizopakia hazitoki foleni
  2. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Hali ya foleni bandarini inatisha

    Habari! Wanajukwaa siku za hivi karibuni bandarini kumekuwa na hali mbaya sana katika uingiaji na utokaji wa malori bandarini lori ambalo linaanzia foleni malawi cargo mpaka lifike kitopeni liingie bandarini lipakie litoke lije litumie mizani wa Malawi cargo ni kama 4km tu lakini lori...
  3. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Ukiota ndotoni upo na Mheshimiwa Rais - hii ina maana gani?

    Mkuu hii kwangu ni tofauti kabisa hakuna ndoto naipenda kama nipo shule nina ndoto kubwa sana ya kupata elimu kubwa hivyo ndoto nikiwa shule ni ndoto ambazo nazitafsili kama ktk ulimwengu roho ndoto yangu ya kupata elimu bado inatambulika na bado inaishi napata faraja kubwa sana kuwa siku...
  4. TCSPM

    JamiiForums Tanzania TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    😂😂Hata huku Kama kapoo hivi
  5. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya maombi ya mfungo na ukafanikiwa. Tusaidie namna ulitekeleza mfungo wako

    Maombi yangu ya mfungo yamekuwa ndio mapinduzi ya maisha yangu nikiwa mkoa 2014 nilifanya mfungo wa Mungu anipe maarifa ya maisha nilifanikiwa kupata katiba itakayoongoza maisha yangu yote iliosheheni kila lililopo katika jamii. Nimeweza kuishi katika misingi ya katiba yangu mpaka napotaka kuwa...
  6. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Vijana wa HALAIKI huwa wananufaika na kipi baada ya mafunzo na shughuli ya kiserikali kupita?

    Nanufaika watesi wangu wanaonunua sukari bei juu usafiri bei juu na katiba mpya wataisikia huko na tume huru ya uchaguzi tutakuwa tunabadili label tu radha ni ileile mpaka namba isomeke.
  7. TCSPM

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zao Oktoba 2024/25

    Mkuu upo sahihi 100% Rukwa miji yake imekuwa na kasumba hiyo si tu stendi bali pia minada yote muhimu huwekwa nje ya mji kama Namanyere Nkasi pia ilikuwa hivyo ktk stendi lkn ilikuwa hivyo ktk Mnada na hospitali kwa utafiti usio rasmi lengo ni kupanua na kukuza mji njia hii imekuwa ndio chaguo...
  8. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Amesoma uzi vizuri na jinsi alivyokujibu yupo sahihi amejikita ktk matatizo ya sasa yanayotusumbua kwa mujibu wa uzi wako umekurupuka kuandika awamu ya tano ukiwajibika vyema ktk nafasi yako hakuna litakukuta baya , na swala la upinzani uchwala pia huwezi kuwa salama awamu ya tano jikite...
  9. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Nenda mahakamani au peleka popote unapohisi utasaidiwa usiishie hapa tuachieni mtu wetu apumzike Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Luhanga Mpina aibua mambo ya kutisha huduma za kuongeza makalio, atoa ufafanuzi mzito

    Bado Tanzania litabaki kuwa Taifa langu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  11. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tunajifunza nini kuteuliwa kwa Waziri Mkuu wa Ufaransa mwenye miaka 34?

    Viongozi wetu wanahusuda na wivu vijana wanaopewa nafasi ni vijana wao na wanawafunda uhuni wao ndio maana taifa lina vijana ambao hatuoni mabadiliko vijana wenye uwezo wanaojitosa kwa nguvu zao wanafilisiwa wanapewa kesi za ajabu ajabu wametengenezewa chuki kwa wananchi maadamu mapinduzi ya...
  12. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa ulimwengu huu ni kifungo cha nafsi?

    Jimena naomba kujua kama nimekuelewa ujumbe wako unamaana kuwa nahitaji kuishi mimi kama ninavyojisikia ndani yangu kufuata ile kweli niliyonayo hasira,chuki,au changamoto yoyote isiwe kubwa kuliko dhamira na malengo yangu sheria na kanuni za manabii sio zangu ni zao wao maana yake nizishike...
  13. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    Mtu umetulia zako na Mungu wako shida iko wapi? Yaani mwenzako kuabudu kwake wewe kinakuuma mpaka unaona ulipue kanisa cha ajabu sio mmoja ni kundi ambalo zaili walikaa vikao kuratibu unyama huu kibaya zaidi viongozi wa juu ukiliona li jitu limechafuka sura kwa ndevu kumbe ligaid la kutisha
  14. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na ukaribu na mtu lazima afanikiwe sio mimi

    Bro unaneema kubwa wala usijali wala usichoke wala kukata tamaa hakikisha unakuwa na watu zaidi unavyoweza waache wafanikiwe ipo idadi yao ktk kiganja cha Allah itakapotimia niamini mimi si binadamu wa kawaida utakuwa na mafanikio ambayo hakuna yoyote unayemjua alifanikiwa mara baada kuweka...
  15. TCSPM

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status:Job seeker Professional: Shipping & port Operations ( Computer skills+TANCIS) Level: Ordinary Diploma Experience: 3+ (ICD&CFS) Location: Dar es salaam
Back
Top Bottom