Jihadhari na taarifa hii sio ya kweli! TCRA haijafanya utafiti na sio moja ya kazi za Mamlaka! Tunachukua hatua stahiki kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya mtandao.
TCRA ni taasisi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria ya EPOCA 2010, Kanuni za Utangazaji pamoja na masharti ya leseni za Utangazaji.
Upo utaratibu unaofuatwa katika kushughulikia ukiukwaji wa Kanuni au Masharti ya leseni ikiwa ni pamoja na kumtaka mwenye leseni kujibu tuhuma na kuitwa kwenye...
Tumepokea kwa masikitiko taarifa hii. Mkurugenzi Mkuu ameagiza taarifa itolewe kwa nini wao hawajapata hizo Kompyuta na Je kuna mawasiliano yametokewa?
Pamoja na kwamba wahusika wana mawasiliano na TCRA na wangeweza kuuliza moja kwa moja, tunaheshimu njia waliyoamua kutumia!
Taarifa rasmi...
Mamlaka kwa muda mrefu imepokea malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa Kyela na hata vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na baadhi ya vyombo vya habari katika maeneo inakosikika kwa majaribio.
Tunawasihi wadau wetu kufuata taratibu na kuacha kueneza habari zisizo na ukweli.
Ripoti ya Ukaguzi wa kituo ni Siri yetu na mteja! Wala Ukaguzi ukifanyika mwenye kituo hapewi ripoti hadi imepelekwa menejiment pamoja na bodi ambayo kisheria humshauri Waziri wa Habari kuwa Redio Fulani imekamilisha masharti na Mamlaka inakusudia kumpa leseni.
Waziri hudhiria au hukutaa lakini...
Radio husika Kyela FM haijapewa leseni bado kwani hawajakamilisha mchakato wa kupatiwa leseni. Walipewa Construction Permit - kibali cha kujenga na kufanya majaribio kwa mwaka moja- ambapo mamlaka ingekagua masuala ya kiufundi na kiutendaji ili wapewe leseni.
Hawakuweza kukamilisha matakwa ya...
TV zote local sio lazima kuonekana bure isipokuwa zile 5 za kitaifa za mfumo wa DTT.
Zingine huonekana endapo uko eneo zinakorushwa na kama ni za bure.
AZAM TV ina leseni ya "satellite by Subscription" mfumo wa malipo kupitia satelait. Azam Ina kingamuzi chake.
Iko mifumo minne ya utangazaji;
1. Satellite - Zuku, DSTV, Azam
2. Cable TV - utangazaji kupitia mfumo waya
3. Digital Terrestrial - Agape, Basic a Transmission - Continental na...
Redio zilizosajiliwa hadi sasa ni 105 na TV ni 28. Hizi zina leseni mbalimbali ikiwemo zenye leseni Kitaifa, Kimkoa na Kiwilaya. Sio kijografia bali Kitaifa ni nchi nzima, Kimkoa ni kuanzia mkoa mmoja hadi 10, Kiwilaya ni kuanzia mkoa mmoja hadi mitano.
List ya Radio na TV zilizopo kwa sasa...
Juve TCRA Ni taasisi makini inayoheshimu sana mawazo na michango yenye kujenga matumizi mazuri ya mawasiliano. Nchi yetu bado watumiaji wa internet ni wachache sana just 11 milioni!
Tunataka watumiaji angalao wafike 50% ya population ili wafaidike na huduma hizi!
Vyombo zaidi ya 16 zikiwemo TV, Radio na magazeti yalikuwepo! Bwana Mungy aliwasilisha mada kuhusu "Umuhimu wa Elimu Kwa Umma katika kuelimisha watumiaji wabaya wa mitandao ya kijamii!
Wakati wa maswali na majibu ndani ya mkutano wa watumishi wa Mamlaka katika uzinduzi wa Siku ya Wateja...
Account ya TCRA ni verified na waendeshaji wa Jamii Forum wanaweza kuthibitisha hili!
Inakuwa rahisi kuamini habari za uongo za gazeti moja (peke yake) lakini hatuamini Account ya TCRA ambayo imekuwa humu kipindi kirefu kama mshiriki wa mijadala mingi tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.